The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Rais wa Marekani ni Trump.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengiSikushangai hata kidogo ndugu yangu kwani mwaka 2008 wapo walionena hivyo hivyo kwamba Obama hawezi kuwa Rais wa Marekani...Obama alipata ushindi wa kishindo.
Miaka kumi na sita baadaye, leo huyo huyo Obama alikuwa jukwaani akimnadi Kamala! Laiti ungefualitia yanayojiri kwenye convention ya DEMS...moto ulikuwa ni ule ule wa 2008!
Siasa za Marekani na siasa za Tanzania ni kama mbingu na ardhi. Nimekufuatilia kidogo humu ndani hivyo sikushangai kwa msimamo wako wa CCM kutawala Tanzania milele.
Ulichoandika ni uongo mtupu. Nadhani huijui siasa za USA kwa kina.Unaandika kishabiki maandazi tu. Hujaangalia global politics. Sera za Trump za kumaliza vita vya Ukraine, kuzuia wahamiaji haramu Marekani, kukemea ushoga (LGBT), kuongeza uzalishaji viwandani na kuweka kodi nafuu vinamfanya Trump awe chaguo la wengi
NonsenseUlichoandika ni uongo mtupu. Nadhani huijui siasa za USA kwa kina.
Trump hawezi kuimaliza vita ya Ukraine kwa sababu hakuianzisha yeye, vita ya Ukraine itakwisha siku Putin akishindwa vita au akiitwaa ukraine yoyote. Trump anasimama wapi katika hilo?
Kuhusu uzalishaji viwandani, Biden amekuwa ni rais bora kuliko wengi katika hilo, rekodi ambayo Trump hakuwahi hata kuiwaza.
Suala la LGBT kwa marekani linalindwa na sheria za kupinga upaguzi wa rangi na wahamiaji, hakuna namna Trump anaweza kukabiliana nalo bila kuipasua USA vipande vipande. Na makundi yenye mlengo wa kuunga mkono hayo ndio makubwa zaidi na yaliyobeba wapiga kura wengi wazuri kwa zaidi ya 70%. Trump apingane nayo halafu apigiwe kura na nani?
Kuhusu vita, anza kujiuliza mtazamo wa Trump kuhusu mashariki ya kati (ambapo kitisho cha vita ya dunia ni kikubwa zaidi), Trump anaunga mkono msimamo wa Israel kuendeleza vita na Kamala Harris anataka zaidi mazungumzo ya amani kusitisha vita. Na kanuni rahisi ya kihistoria huwa, Republican ni wapenda vita zaidi huku Democratic ni wapenda mazungumzo zaidi kwenye mizozo.
Mwisho kabisa ukitaka kujua ni kwanini Kamala Harris huenda atashinda urais kirahisi sana nenda kaangalie ni kwanini 2008 Democratic walimpitisha Obama kugombea urais na mwisho wamerekani wengi wakampigia kura na kushinda uchaguzi. Uchaguzi huu ni kama marudio ya mwaka 2008.
Tumia akiliMwaka-Trump hana tofauti na Magufuli kabisa,
Trump kila akisimama ni kusema Marekani imechezewa na inachezewa, sasa watu wa Tanganyika wao makofi tu, wazungu hawapo hivo
Mitume na manabii wanaotanganza ushind kwa Trump wataficha wapi uuso
Nami sioni Kamala akimshinda TrumpMzee Trumpet atamgaragaza mapeema asubuhi
Kwa sasa Marekani haina Rais. Joe Biden ana mtindio wa Ubongo. Nchi iko kwenye autopilot inajiendea tu. Taratibu za kisheria zinakamilishwa Trump arudi Ikulu.Hapana, Rais wa Marekani ni Joe Biden.
Masaa 24 umepata like 3 hio kudhihirisha hizo ndio Kura za Kamala mpaka asubuhi hatoboianashinda mapema asubuhi.
Exactly yule Mama pamoja na kutumia sympathy ya uindi na uafrica Ila watu bado wanataka Trump aingie pale kwa mara nyingineTaratibu za kisheria zinakamilishwa Trump arudi Ikulu.
Trump anapita mapema sanaUlichoandika ni uongo mtupu. Nadhani huijui siasa za USA kwa kina.
Trump hawezi kuimaliza vita ya Ukraine kwa sababu hakuianzisha yeye, vita ya Ukraine itakwisha siku Putin akishindwa vita au akiitwaa ukraine yoyote. Trump anasimama wapi katika hilo?
Kuhusu uzalishaji viwandani, Biden amekuwa ni rais bora kuliko wengi katika hilo, rekodi ambayo Trump hakuwahi hata kuiwaza.
Suala la LGBT kwa marekani linalindwa na sheria za kupinga upaguzi wa rangi na wahamiaji, hakuna namna Trump anaweza kukabiliana nalo bila kuipasua USA vipande vipande. Na makundi yenye mlengo wa kuunga mkono hayo ndio makubwa zaidi na yaliyobeba wapiga kura wengi wazuri kwa zaidi ya 70%. Trump apingane nayo halafu apigiwe kura na nani?
Kuhusu vita, anza kujiuliza mtazamo wa Trump kuhusu mashariki ya kati (ambapo kitisho cha vita ya dunia ni kikubwa zaidi), Trump anaunga mkono msimamo wa Israel kuendeleza vita na Kamala Harris anataka zaidi mazungumzo ya amani kusitisha vita. Na kanuni rahisi ya kihistoria huwa, Republican ni wapenda vita zaidi huku Democratic ni wapenda mazungumzo zaidi kwenye mizozo.
Mwisho kabisa ukitaka kujua ni kwanini Kamala Harris huenda atashinda urais kirahisi sana nenda kaangalie ni kwanini 2008 Democratic walimpitisha Obama kugombea urais na mwisho wamerekani wengi wakampigia kura na kushinda uchaguzi. Uchaguzi huu ni kama marudio ya mwaka 2008.
Hilo liko wazi mkuu. Mtu yoyote anaeona mambo kwa mapana yake anajua iko hivyo.Exactly yule Mama pamoja na kutumia sympathy ya uindi na uafrica Ila watu bado wanataka Trump aingie pale kwa mara nyingine
While I am for her winning it is not as easy as you think. Trump still has a chance to 270 votes comes November. She need to lock in Pennsylvania, Wisconsin, Michigan while holding her ground in traditional Democrats states. She still need to campaign hard.Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Mleta mada ametanguliza chuki zake binafsi kwanza halafu akatumia chuki zake kujenga madaJambo jema na tusitangulize chuki.
Subiri hii convention mjini Chicago iishe na Kamala apitishwe rasmi kuwa mgombea, ushuhudie kampeni ya aina yake...YES SHE CAN!While I am for her winning it is not as easy as you think. Trump still has a chance to 270 votes comes November. She need to lock in Pennsylvania, Wisconsin, Michigan while holding her ground in traditional Democrats states. She still need to campaign hard.
In 2016 Clinton thought she had the presidency only losing it at the last day!
Sikukatalii kuhusu kampeni ila awe makini sana. She is still a women, a liberal from San Fransisco bay area. If Trump can tie her to all the liberal policies of California then he still has a chance to clinch the presidency come November. Trump need discipline and that is all because most American trust him on economy and that is what matter. She need to come to the middle as she was for healthcare for all, banning fracking while it is an industry that can make or break you in Pennsylvania, Ohio. She need to trade very carefully on the issues or else she shall see all her leads evaporating in the election night.Subiri hii convention mjini Chicago iishe na Kamala apitishwe rasmi kuwa mgombea, ushuhudie kampeni ya aina yake...YES SHE CAN!