Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
🀣🀣🀣🀣
 
I am not biased...

I hate no body.....

I write/speak the truth...

Samia Suluhu Hassan si Mtanganyika, ni Mzanzibari...

Zanzibar ni nchi nyingine (sema nchi ya kigeni). Tanganyika ni nchi nyingine separate kabisa na Zanzibar...

Kwa facts hizi inawezekanaje Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika? Kwa sbb ya hiki kinachoitwa "Muungano?"

Ok. Ni muungano. Je, ndiyo tuliungana kwa namna hii? Mshirika mmoja wa muungano ku - undermine sovereignty ya mshirika mwenzake...?

NO WAY. USHIRIKA WA NAMNA HII UNA MAKOSA MAKUBWA NA HAUFAI HATA KIDOGO....!!

Unadhani inawezekana vipi Mtanganyika kama Tundu Lissu akawa Rais wa Zanzibar?

Kwanini iwezekane kwa Mzanzibari kuwa kiongozi wa level ya u - Rais Tanganyika na usiwe hivyo kwa Mtanganyika huko Zanzibar...?

Kama huioni kasoro hii, basi iko shida kwenye ufahamu wako....!

My stand is always: Samia Suluhu Hassan si raia wa Tanganyika. Ni raia wa Zanzibar na kwa sababu hii ni makosa makubwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi ya Tanganyika....!!
Watanganyika wengi hatuna akili, inawezekanaje kuruhusu hili litokee?
Nenda Zanzibar ukaone anavyoijenga kwa mgongo wa Rais Mwinyi, kaangalieni huko barabara za ndani ndani kwa sasa zinanjengwa kwa lami kila kona,
Mtakuja kushtuka au atawaachieni nchi yenu na madeni lukuki ambayo kuyalipa ni shughuli pevu.
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
HUU MSIMAMO WAKO BADO UPO??? WENZETU WANAELEWA KABISA MWANAMAMA HATOSHI KWENYE NAFASI ZA JUU ZA NCHI. SISI WA KWETU KILA SIKU TUNAMPA SIFA ZISIZO ZAKE ETI ANAUMIMINA MWINGI.
 
I am not biased...

I hate no body.....

I write/speak the truth...

Samia Suluhu Hassan si Mtanganyika, ni Mzanzibari...

Zanzibar ni nchi nyingine (sema nchi ya kigeni). Tanganyika ni nchi nyingine separate kabisa na Zanzibar...

Kwa facts hizi inawezekanaje Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika? Kwa sbb ya hiki kinachoitwa "Muungano?"

Ok. Ni muungano. Je, ndiyo tuliungana kwa namna hii? Mshirika mmoja wa muungano ku - undermine sovereignty ya mshirika mwenzake...?

NO WAY. USHIRIKA WA NAMNA HII UNA MAKOSA MAKUBWA NA HAUFAI HATA KIDOGO....!!

Unadhani inawezekana vipi Mtanganyika kama Tundu Lissu akawa Rais wa Zanzibar?

Kwanini iwezekane kwa Mzanzibari kuwa kiongozi wa level ya u - Rais Tanganyika na usiwe hivyo kwa Mtanganyika huko Zanzibar...?

Kama huioni kasoro hii, basi iko shida kwenye ufahamu wako....!

My stand is always: Samia Suluhu Hassan si raia wa Tanganyika. Ni raia wa Zanzibar na kwa sababu hii ni makosa makubwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi ya Tanganyika....!!
Nikirudi DSM ntakupeleka Johari Rotana tukapate lunch. Umenifurahisha sana.​
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Mbona kashindwa
 
Vp bado unaamini ulichokiandika?
 
Bobu upo au umelala?? Hahaha
 
Alisikika Mmarekani wa kwa Mtogole
 
Mwaka-Trump hana tofauti na Magufuli kabisa,

Trump kila akisimama ni kusema Marekani imechezewa na inachezewa, sasa watu wa Tanganyika wao makofi tu, wazungu hawapo hivo

Mitume na manabii wanaotanganza ushind kwa Trump wataficha wapi uuso
yako wapi?..
huu uongo uliutafakari ukiwa wapi?
 
Back
Top Bottom