Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini utakutesa sanaCCM imegeuka Shura ya maimamu
UDINI MTUPUMtanzania halisi hawezi kufikiria udini. #Jitafakari.[emoji120][emoji120][emoji120]
40/100 na 60/100 Unasemaje kunaudini hapo?UDINI MTUPU
Mi naiona Oman tupu hapa,kila kitu kilibinywa kuhakikisha ama Mzenj au Mu Oman ndio anashinda,kuelekea 2025!Samia lazima atacheza kadi ya udini!!kama alivyofsnya Kikwete,au ukabila kama alivyofsnya Jiwe.Kuna harufu ya Saudi Arabia hapa so bure
Nenda kaangalie aliyeshinda UWT then njoo u comment hapaMi naiona Oman tupu hapa,kila kitu kilibinywa kuhakikisha ama Mzenj au Mu Oman ndio anashinda,kuelekea 2025!Samia lazima atacheza kadi ya udini!!kama alivyofsnya Kikwete,au ukabila kama alivyofsnya Jiwe.
Akija kukujibu niite,Nenda kaangalie aliyeshinda UWT then njoo u comment hapa
Unalinganisha mkoa na nchi? linganisha mkoa na mkoaKwani huyo M/Kiti kule Singida wao wako wangapi?
akili mufilisi unawaza udini karne ya 21? unatofauti gani na wanaoenda kwa wagangaKumbe CCM wanachaguana Kwa DINI
Kwahiyo ndo mmeamua kupindua meza!!!!??? Kweli CCM ni Chanzo Cha Matatizo ya nchi hii.Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa kabaka mkristo
Wazazi nimemsahau jina pia mkristo
Mbona Mambo ya udini hayakusikika iweje leo muanze kupiga kelele