UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

Kuna harufu ya Saudi Arabia hapa so bure
Mi naiona Oman tupu hapa,kila kitu kilibinywa kuhakikisha ama Mzenj au Mu Oman ndio anashinda,kuelekea 2025!Samia lazima atacheza kadi ya udini!!kama alivyofsnya Kikwete,au ukabila kama alivyofsnya Jiwe.
 
Nenda kaangalie aliyeshinda UWT then njoo u comment hapa
 
Hivi huwa wakati wa tu akiwa muislan kwenye kiti Cha Urais udini ndo mnauona au vp
Ok tuje kipindi Cha magufuli tuone Safu ya uongozi CCm na jumuiya zake zilikuwa vp
Mwenye kiti CCM alikuwa Magufuli -mkristo
Makumu wake alikuwa mkristo
Mwenyekiti Uvccm alikuwa Herry james- mkristo
UWT alikuwa kabaka mkristo
Wazazi nimemsahau jina pia mkristo
Mbona Mambo ya udini hayakusikika iweje leo muanze kupiga kelele
Kwahiyo ndo mmeamua kupindua meza!!!!??? Kweli CCM ni Chanzo Cha Matatizo ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom