Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
- Thread starter
- #21
Pyuuuuu! Yaani kwamba hujui uchaguzi wa mwaka jana uliporwa!Kama unaushahidi kura ziliibiwa mbona hujasema tangu mwanzo au mgombea aliyeshindwa mbona hajaenda Mahakamani kushitaki ili matokeo yatenguliwe?