Mkuu Uchaguzi wa Mwaka 2020 hivi kwa dhuluma ile ilivyopangwa kweli mtu utaweza kwenda Mahakama zetu hizi? Yaani kweli kabisa unashauri hivyooo Mkuu! Mwigulu mwenyewe alikuwa anatangulia kuwaambia wapinzani wake "Nenda Mahakamani" hivi unafirkiri huo sio mtego?