Pre GE2025 Uchaguzi wa 2025 tuchague Rais mwingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

buswagg

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
728
Reaction score
1,352
Wakuu habari zenu, i hope mko ok wote.

Huwa najaribu sana kutozungumzia habari za siasa, cas nina marafiki wengi na watu wa karibu ni wanasiasa, tena wa ccm[emoji30] ndo sababu huniwia vigumu sana kucomment, ila leo nitaongelea hili swala moja tu.

Sio kwa ubaya, lakini huyu mama (wanapishana age kidogo na first born wetu, kaka etu) apumzike asigombee tena nafasi hii, au hata nyingine serikalini. Astaafu kwa Amani.

Watanzania, aminini hili nalowaambia leo, sijawahi mchukia wala kumdharau kwa chochote, hata kwa yale yaliyosemwa mitandaoni kumuhusu ni ya kibinasi sana, yawe ya kweli au sio ya kweli, hayo ni ya kibinafsi hayatuhusu, ilimradi anaendesha nchi vizuri ni sawa.

Kuna mengi ambayo yanaendelea hamjui, na hata mkiambiwahamta amini, ila niwaombe kitu kimoja CCM, uchaguzi ujao 2025 pendekezeni mtu mwingine awe mgombea wenu wa uraisi, sababu incase mkamchagua na akashinda, trust me hata nyinyi hamtaamini kitakachotokea.

Wapinzani wekeni watu ikiwemo wabunge wazuri watakaoinyoosha nchi, sababu wabunge wengi wa upinzani wanaenda kushinda. Msiniuliza nimejuaje ila jua tu ni hivo.
Chadema mpendekezeni Tundu Lissu.

CCM mpendekezeni yeyote yule lakini siyo samia, wala asiwe kwenye cabinet ya mawaziri ya sasa. Unless mumpendekeze naibu waziri mkuu wa sasa, huyo ni bora.

Najua why nimewaambia hili, mtakuja kunishukuru badae, na mkipuuzia mtakuja kulia badae.

I'm sorry if nimemkera mtu, but me nmefikisha ujumbe tu.
 
Kuna mengi ambayo yanaendelea hamjui, na hata mkiambiwahamta amini,
hamtaamini kitakachotokea.
Msiniuliza nimejuaje ila jua tu ni hivo
Naona umeomboleza tu, lakini hujaweka wazi sababu za msingi. Unategemea tukuamini tu kama mganga wa kienyeji?

Kama umeona ni bora kutuficha sababu zako, kwa nini sie tuone haja ya kufuata ushauri wako?

Kinachowafanya watu wenye akili kushawishika siyo hisia tu, bali ni mantiki zenye mashiko, ambapo wewe kwa hilo umepwaya pakubwa.

^Si quelqu'un pleure sans expliquer pourquoi, en s'attendant à la pleine coopération de ses amis, il y a de fortes chances qu'il ne le prenne pas au sérieux non plus.^
 
Wakuu habari zenu, i hope mko ok wote.

Hua najaribu sana kutozungumzia habari za siasa, cas nina marafiki wengi na watu wa karibu ni wanasiasa, tena wa ccm[emoji30] ndo sababu huniwia vigumu sana kucomment, ila leo nitaongelea hili swala moja tu.

Sio kwa ubaya, lakini huyu mama (wanapishana age kidogo na first born wetu, kaka etu) apumzike asigombee tena nafasi hii, au hata nyingine serikalini. Astaafu kwa Amani.

Watanzania, aminini hili nalowaambia leo, sijawahi mchukia wala kumdharau kwa chochote, hata kwa yale aliosema mange kumuhusu ni ya kibinasi sana, yawe ya kweli au sio ya kweli, hayo ni ya kibinafsi hayatuhusu, ilimradi anaendesha nchi vizuri ni sawa.

Kuna mengi ambayo yanaendelea hamjui, na hata mkiambiwahamta amini, ila niwaombe kitu kimoja ccm, uchaguzi ujao 2025 pendekezeni mtu mwingine awe mgombea wenu wa uraisi, sababu incase mkamchagua na akashinda, trust me hata nyinyi hamtaamini kitakachotokea.

Wapinzani wekeni watu ikiwemo wabunge wazuri watakaoinyoosha nchi, sababu wabunge wengi wa upinzani wanaenda kushinda. Msiniuliza nimejuaje ila jua tu ni hivo.
Chadema mpendekezeni Tundu Lisu
CCM mpendekezeni yeyote yule lakini siyo samia, wala asiwe kwenye cabinet ya mawaziri ya sasa. Unless mumpendekeze naibu waziri mkuu wa sasa, huyo ni bora.

Najua why nimewaambia hili, mtakuja kunishukuru badae, na mkipuuzia mtakuja kulia badae.

I'm sorry if nimemkera mtu, but me nmefikisha ujumbe tu.
Mama Samia ndiyo chaguo letu, kaa hupendi kajinyonge.

Kondoo tumewastukia.
 
Mchague na nani bwana sema uchague wewe
 
Sema hapo ulipopendekeza Dotto naona mmnh.!
Kwanza CV yake inaingia?

Kila mtu aombe kwa imani yake Mwenyezi Mungu aje kuingilia kati kwa namna ajuavyo atupatie kiongozi ambae ataona kuwa na afadhali ya kuweza kutupeleka mbele kimaendeleo, kiuadilifu, mwenye maono makubwa kwa Habari ya Taifa hili, mwenye kujisikia kuwiwa kusimamia . kulinda na kutunza rasilimali za Taifa hili ili vizazi hata baada baada ya miaka 1000 na kuendelea wakute rasilimali tulizopewa bure na Mwenyezi Mungu zikiwa vile vile tangu wakati wa Uhuru wa Tanganyika.
 
Mama Samia yupo vizuri ila umri umeenda sana. Huko mbeleni atasumbuliwa na kasi ya wakati ujao, yeyote ayetaka aendelee ni kutaka kuendeleza ulaji wa kufisidi mali za umma kwani umkini wa kufuatilia mambo kwa atakaokuwa nao itakuwa ngumu.
 
Unajua hata awamu ile wakati wa exit ya JK kuingia JPM kuna namna Mungu aliingilia kati ikatokea sinyofahamu , mikingamo yakawa yaliyokuwa hadi leo.
Kwa mtini tujifunze.
Mwenyezi Mungu anaona yote hadi ya yanayofanyika sirini.
Mwenyezi Mungu anajua hila na ghiliba zote zinazofanyika na kupangwa na Pengine kutekelezwa.
Mwenyezi Mungu anajua kuchunguza mioyo maana ndie Muumbaji wa kila mwanadamu.
Mwenyezi Mungu anajua yote.

Akiona wa sasa atatufaa kiendelea Sawa akiona vinginevyo basi mapenzi yake yatimizwe.

Ingawa kujipanga na kufuatilia na kuchukua hatua ni jambo jema badala ya kukaa kusubiri Mungu kuingilia kati.
 
Alikuja mtu hapa akatuambia Magu atakufa tukadharau.....hasa huyu BIBI KIZEE FaizaFoxy alituingiza chaka akasema ati tusiwe na hofu Magu yuko gado KUMBEEE...

Msije mkasema hatukujuaa pindi SASHA atakapoleta ubishi na kufyekwa.
 
Kungekuwa hakuna Mungu ningepata shaka sana Kwamba Sasa itakuwaje ?’!
Lakini sababu yupo aaah najua tumaini lipo.
Na Tumaini lake halitahayarishi.
Mwenyezi Mungu ni zaidi ya Fundi na Mhandisi.
 
Nilipooma hiki kipengele nikajua hata utakachosama kitakuwa shudu* na ndiocho nilichoona!

Mwache Mama Samia aendelee..tunashukuru anatupungua mzingo wa graduates kushinda jikoni kuangalia chakula kwa shemeji na wifi zao.
 
aliosema mange
Nilipoona hiki kipengele nikajua hata utakachosema kitakuwa shudu* na ndicho nilichoona!...inakuaje mtu na akili zako upo busy unamfuatilia mwehu

Mwache Mama Samia aendelee..tunashukuru anatupungua mzigo wa graduates kushinda jikoni kuangalia chakula kwa shemeji na wifi zao.
 
Naona umeomboleza tu, lakini hujaweka wazi sababu za msingi. Unategemea tukuamini tu kama mganga wa kienyeji?

Kama umeona ni bora kutuficha sababu zako, kwa nini sie tuone haja ya kufuata ushauri wako?

Kinachowafanya watu wenye akili kushawishika siyo hisia tu, bali ni mantiki zenye mashiko, ambapo wewe kwa hilo umepwaya pakubwa.

^Si quelqu'un pleure sans expliquer pourquoi, en s'attendant à la pleine coopération de ses amis, il y a de fortes chances qu'il ne le prenne pas au sérieux non plus.^
tout n'a pas besoin d'une explication directe

me si mganga na sijaandika hear say, just take it or leave it.

Kikwete once said "Za kuambiwa, changanya na zako"

is ur choice[emoji120]
 
Back
Top Bottom