buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 728
- 1,352
Wakuu habari zenu, i hope mko ok wote.
Huwa najaribu sana kutozungumzia habari za siasa, cas nina marafiki wengi na watu wa karibu ni wanasiasa, tena wa ccm[emoji30] ndo sababu huniwia vigumu sana kucomment, ila leo nitaongelea hili swala moja tu.
Sio kwa ubaya, lakini huyu mama (wanapishana age kidogo na first born wetu, kaka etu) apumzike asigombee tena nafasi hii, au hata nyingine serikalini. Astaafu kwa Amani.
Watanzania, aminini hili nalowaambia leo, sijawahi mchukia wala kumdharau kwa chochote, hata kwa yale yaliyosemwa mitandaoni kumuhusu ni ya kibinasi sana, yawe ya kweli au sio ya kweli, hayo ni ya kibinafsi hayatuhusu, ilimradi anaendesha nchi vizuri ni sawa.
Kuna mengi ambayo yanaendelea hamjui, na hata mkiambiwahamta amini, ila niwaombe kitu kimoja CCM, uchaguzi ujao 2025 pendekezeni mtu mwingine awe mgombea wenu wa uraisi, sababu incase mkamchagua na akashinda, trust me hata nyinyi hamtaamini kitakachotokea.
Wapinzani wekeni watu ikiwemo wabunge wazuri watakaoinyoosha nchi, sababu wabunge wengi wa upinzani wanaenda kushinda. Msiniuliza nimejuaje ila jua tu ni hivo.
Chadema mpendekezeni Tundu Lissu.
CCM mpendekezeni yeyote yule lakini siyo samia, wala asiwe kwenye cabinet ya mawaziri ya sasa. Unless mumpendekeze naibu waziri mkuu wa sasa, huyo ni bora.
Najua why nimewaambia hili, mtakuja kunishukuru badae, na mkipuuzia mtakuja kulia badae.
I'm sorry if nimemkera mtu, but me nmefikisha ujumbe tu.