Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa watikisa, Matokeo yasubiriwa kwa hamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu

Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona



Kama unataka matokeo ya Uchaguzi huu kabambe ambao kule Kenya wanauelezea kufanana na ule wa Urais Kati ya William Ruto na Raila Odinga, basi Usiondoke JF, Kila kitu utakipata hapa.
======

Matokeo kamili haya hapa

 
Mbowe akitaka lake hakuna kushindwa kreti 4 za chimpuni chaliiiii analeta maneno na ngonjera!
 
Rushwa tupu
 
Kutapatapa Kwa Lisu na Msingwa hakujamsaidia.

Kiufupi wagombea wote wa Mbowe Wameshinda huku wale wa Lisu wakiangukia Pua .

Unaleta mchezo na Nguvu ya pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C7j3JPVC4kt/?igsh=NWs5MmZmc3lpcm1j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…