Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa watikisa, Matokeo yasubiriwa kwa hamu

Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa watikisa, Matokeo yasubiriwa kwa hamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutapatapa Kwa Lisu na Msingwa hakujamsaidia.

Kiufupi wagombea wote wa Mbowe Wameshinda huku wale wa Lisu wakiangukia Pua .

Unaleta mchezo na Nguvu ya pesa 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C7j3JPVC4kt/?igsh=NWs5MmZmc3lpcm1j

Nguvu ya pesa kwa tofauti hiyo ya kura? Huo ndio uchaguzi Sasa, sio ule upuuzi wenu wa huko ccm eti mtu anapata kura 100% bila hata kura Moja ya hapana Wala kuharibika, na unakuta mijitu mizima inajichekeshachekesha eti ushindi wa kishindo.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa MamaSamia2025
 
ndezi kweli, wajumbe 106 ndio Uchaguzi? 🤣

mkoa mzima? huo nao ni Uchaguzi kweli?

mnashindwa hata na chama cha mpira wa miguu wilaya ya kisarawe kina wajumbe zaidi ya mia3🤣

jimboni pangu walikua wajumbe 888🐒
 
Sugu mtu wa vurugu ameshinda uchaguzi wakati katibu mkuu wa chama akitahadharisha uwepo wa harufu mbaya ya rushwa kwenye uchaguzi huu wana nyasa.

Ni muda muafaka sasa kuishukuru tena rushwa kutupa kiongozi.

Hongera mboye na huyu anaejiita bilionea aka sugu.

Pipooziiiiiiiii
Utoe rushwa kisha umshinde mtu kwa kura mbili? Unajua nguvu ya rushwa kweli ww? Naona mlitarajia huo uchaguzi ufanane na ule uchafu unaoendelea ccm lakini mmekwama. Sasa mmebaki kuokoteza vistory vya kuwatoa stress.
 
ndezi kweli, wajumbe 106 ndio Uchaguzi? 🤣

mkoa mzima? huo nao ni Uchaguzi kweli?

mnashindwa hata na chama cha mpira wa miguu wilaya ya kisarawe kina wajumbe zaidi ya mia3🤣

jimboni pangu walikua wajumbe 888🐒
Watu wajinga ndio hutazama wingi, watu waerevu hutazama ubora. Waafrika ni wengi/masikini, lakini tunazidiwa ubora na waisraeli wachache. Kama mko 888 kisha mtu anapata kura 100% huoni huko mmjaa mifugo na sio watu?
 
Watu wajinga ndio hutazama wingi, watu waerevu hutazama ubora. Waafrika ni wengi/masikini, lakini tunazidiwa ubora na waisraeli wachache.
ubora wa mipesa sio, ilivyomwagwa 🤣

msigwa kafedheheka sana kwakweli, athari za kubeti zimeanza kumuandama, bado heche 🐒
 
Nani katumia pesa?
wajumbe wameondoka na mipesa ya kutosha aise,

team mwamba wa kaskazini mmemwaga pesa sana dah, wajumbe wamekunywa gambe haijawahi kutokea na bado wameondoka home na mlungula wa hatari 🐒
 
wajumbe wameondoka na mipesa ya kutosha aise,

team mwamba wa kaskazini mmemwaga pesa sana dah, wajumbe wamekunywa gambe haijawahi kutokea na bado wameondoka home na mlungula wa hatari 🐒
Weka ushahidi
 
Weka ushahidi
Makamu mwenyekiti Taifa na mgombea ambae kura haikutosha wanao, check nao tu 🐒

ila kuna ile grocery pale bondeni, kwa yule mama ambae pia ni mjumbe, team mwamba wa kaskazini mlinunua bia zote, mlitisha sana 🤣
 
Attachments

  • photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    53.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom