Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa watikisa, Matokeo yasubiriwa kwa hamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu

Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona

View attachment 3003066View attachment 3003070View attachment 3003091View attachment 3003095

Kama unataka matokeo ya Uchaguzi huu kabambe ambao kule Kenya wanauelezea kufanana na ule wa Urais Kati ya William Ruto na Raila Odinga, basi Usiondoke JF, Kila kitu utakipata hapa.
======

Matokeo kamili haya hapa

View attachment 3003125View attachment 3003126

Sugu mtu wa vurugu ameshinda uchaguzi wakati katibu mkuu wa chama akitahadharisha uwepo wa harufu mbaya ya rushwa kwenye uchaguzi huu wana nyasa.

Ni muda muafaka sasa kuishukuru tena rushwa kutupa kiongozi.

Hongera mboye na huyu anaejiita bilionea aka sugu.

Pipooziiiiiiiii
 
Wapi walipomtaja Sugu kutoa rushwa?
 
Tukio litikise nchi halafu hadi muda huu uzi uwe na page 2 tu za comments! We bilionea unakuza sana mambo
 
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu

Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona

View attachment 3003066View attachment 3003070View attachment 3003091View attachment 3003095

Kama unataka matokeo ya Uchaguzi huu kabambe ambao kule Kenya wanauelezea kufanana na ule wa Urais Kati ya William Ruto na Raila Odinga, basi Usiondoke JF, Kila kitu utakipata hapa.
======

Matokeo kamili haya hapa

View attachment 3003125View attachment 3003126
Siyo kila mtanzania bana
 
Back
Top Bottom