Pre GE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa watikisa, Matokeo yasubiriwa kwa hamu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nguvu ya pesa kwa tofauti hiyo ya kura? Huo ndio uchaguzi Sasa, sio ule upuuzi wenu wa huko ccm eti mtu anapata kura 100% bila hata kura Moja ya hapana Wala kuharibika, na unakuta mijitu mizima inajichekeshachekesha eti ushindi wa kishindo.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa MamaSamia2025
 
ndezi kweli, wajumbe 106 ndio Uchaguzi? 🀣

mkoa mzima? huo nao ni Uchaguzi kweli?

mnashindwa hata na chama cha mpira wa miguu wilaya ya kisarawe kina wajumbe zaidi ya mia3🀣


jimboni pangu walikua wajumbe 888πŸ’
 
Utoe rushwa kisha umshinde mtu kwa kura mbili? Unajua nguvu ya rushwa kweli ww? Naona mlitarajia huo uchaguzi ufanane na ule uchafu unaoendelea ccm lakini mmekwama. Sasa mmebaki kuokoteza vistory vya kuwatoa stress.
 
ndezi kweli, wajumbe 106 ndio Uchaguzi? 🀣

mkoa mzima? huo nao ni Uchaguzi kweli?

mnashindwa hata na chama cha mpira wa miguu wilaya ya kisarawe kina wajumbe zaidi ya mia3🀣


jimboni pangu walikua wajumbe 888πŸ’
Watu wajinga ndio hutazama wingi, watu waerevu hutazama ubora. Waafrika ni wengi/masikini, lakini tunazidiwa ubora na waisraeli wachache. Kama mko 888 kisha mtu anapata kura 100% huoni huko mmjaa mifugo na sio watu?
 
Watu wajinga ndio hutazama wingi, watu waerevu hutazama ubora. Waafrika ni wengi/masikini, lakini tunazidiwa ubora na waisraeli wachache.
ubora wa mipesa sio, ilivyomwagwa 🀣

msigwa kafedheheka sana kwakweli, athari za kubeti zimeanza kumuandama, bado heche πŸ’
 
Nani katumia pesa?
wajumbe wameondoka na mipesa ya kutosha aise,

team mwamba wa kaskazini mmemwaga pesa sana dah, wajumbe wamekunywa gambe haijawahi kutokea na bado wameondoka home na mlungula wa hatari πŸ’
 
wajumbe wameondoka na mipesa ya kutosha aise,

team mwamba wa kaskazini mmemwaga pesa sana dah, wajumbe wamekunywa gambe haijawahi kutokea na bado wameondoka home na mlungula wa hatari πŸ’
Weka ushahidi
 
Weka ushahidi
Makamu mwenyekiti Taifa na mgombea ambae kura haikutosha wanao, check nao tu πŸ’

ila kuna ile grocery pale bondeni, kwa yule mama ambae pia ni mjumbe, team mwamba wa kaskazini mlinunua bia zote, mlitisha sana 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…