Uchaguzi wa CHADEMA kuendeshwa kwa uwazi hili limewashtua sana team Lissu

Uchaguzi wa CHADEMA kuendeshwa kwa uwazi hili limewashtua sana team Lissu

Ila Mi CCM imekuwa mijinga mijinga na haielewi inataka nini. F^ccccck off 😕
 
Huyo mwenyekiti wa Bavicha mwisho wa ujeuri wake keshokutwa Lisu akishindwa kwenye kura atajikuta yuko kisiwani

Hatapewa ushirikiano kabisa na marurupu hatapewa Amuulize Mwenyekiti wake aliyepita Pambalu alinyang'anywa hadi gari la Chama wakamuacha atembee kwa miguu alipoanza.kuleta za kuleta
 
Walikuja kwa kishindo, walitishia kila mtu aliopo mbele yao.

Waliaminisha kwamba CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAZECHA NA BAWACHA Zimejaa rushwa.
Walituaminisha uchaguzi wa mabaraza utakuwa wa wizi mkubwa wa kura na utatawala vurugu na rushwa kila kona.

Lakini tulichokishuhudia uchaguzi ni wazi, utulivu na Hakuna rushwa.

Uchaguzi kuendeshwa kwa uwazi hili limewashtua sana team Lissu na hawakutegemea uchaguzi utakuwa hivi. Kilichobaki kuokota takwimu za ushindi ambao hauna uhalisia.

21/12025 siku ambayo team lissu watashundwa kuamini macho yao.

Ushauri: Mwenyekiti wa BAVICHA uache mihemko ya kisiasa, bado mchanga sana kisiasa . Tulia Mbowe akulee baadae uwe kama akina Lissu na Heche. Muda wako bado
 
Back
Top Bottom