Uchaguzi wa CHADEMA kuendeshwa kwa uwazi hili limewashtua sana team Lissu

Ila Mi CCM imekuwa mijinga mijinga na haielewi inataka nini. F^ccccck off πŸ˜•
 
Huyo mwenyekiti wa Bavicha mwisho wa ujeuri wake keshokutwa Lisu akishindwa kwenye kura atajikuta yuko kisiwani

Hatapewa ushirikiano kabisa na marurupu hatapewa Amuulize Mwenyekiti wake aliyepita Pambalu alinyang'anywa hadi gari la Chama wakamuacha atembee kwa miguu alipoanza.kuleta za kuleta
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…