Uchaguzi wa CHADEMA Taifa: Hawa hapa wapiga kura na wamaliza utata siku ya uchaguzi

Uchaguzi wa CHADEMA Taifa: Hawa hapa wapiga kura na wamaliza utata siku ya uchaguzi

Kwa list ile pale jamaa yetu kupenya ni ngumu - ataishia kupata sifa toka kwa wapiga zumari wa mitandaoni.
 
Uchaguzi huu umeshaingia influence za chama cha majizi ya kura inanipa wasiwasi sana kama utakamilika ukiwa huru na wa haki
 
Andiko limeeleza Wajumbe wa Mkutano huo, Chadema haina Mbunge wa viti maalum anayetokana na Chama hicho
kwani wale wadada wako mule Bungeni kwa tiketi ya chama gani. Sheria siku hizi zinaruhusu wabunge wa vitu maalumu wasio na vyama?

nchi ngumu sana hii!

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Back
Top Bottom