Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Mimi siyo mwanasiasa!
Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO!
Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu!
Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang.
Nakumbuka nilikuwa naenda kuchunga nikiwa na karamu na daftali ili niandike taarifa zozote ikiwemo dawa na chochote nitakachojifunza porini. Iko hivi.
Binadamu au mnyama anapozaliwa ingawa ana macho ya gorori lakini huwa haoni hadi pale anapokariri mazingira baada ya muda.
Vivyo hivyo ukimchukua binadamu huyu mkubwa ghafla ukamtosa kwenye shimo lenye giza nene huwa kama mtoto mchanga aliyezaliwa huwa haoni hadi pale mazingira yatapomtambulisha upya!
Vivyo hivyo akikaa huko kwenye giza ukija kumtoa kwenye mwanga huwa haoni hadi pale mazingira yampokee tena!
Yaani kiufupi binadamu ni kipofu anapotaka kuingia kwenye mazingira mapya na pengine anaweza kukimbia akiamini hataona!
Ugunduzi wa taa (mwanga) ni jambo la kisaikolojia linalomfanya kiumbe mwanadam asiwe kipofu anapoingia kwenye giza ili mazingira yasikaribishe!
Kwa maana hiyo macho yapo kwenye fikra siyo usoni!
Na ndiyo maana umeme ukikatika usiku unapokuja kurudi utasikia mtaani Huoooooooooooo! (Hili ni jambo la kifikra)
Umeme unapokatika taarifa inafika kwenye fikra, na fikra huzalisha hasira,mawazo, joto n.k hata kama mtu chumbani hana feni atakwambia anasubiri Tanesco warudishe mwanga (fikra).
Kwa sayansi hiyo hiyo ndiyo maana usiku binadamu analala ili upofu wake usiyazoee mazingira akashindwa kutembea kesho yake mchana!
Binadamu asili yake ni kipofu lakini mazingira ndiyo huamua muda wa kuona.
Sote tunaweza kuonekana tunatazama lakini hatuoni!
Nitawapa mfano wa kiufundi!
Hivi haujawahi kuharibikiwa na kitu, chombo cha moto, wayaringi n.k na kila fundi akafungua pale pale na asione tatizo!
Lakini fundi mwingine akija mara moja tu anaona shida wakati wengine wote wamefungua hapohapo?
Kinachowafanya CHADEMA watifuane ni kwasababu wamekariri mazingira ya mchana yawasaidie kuona gizani! sasa wapo gizani hawataki kuruhusu mazingira waliopo yawatambulishe ili waweze kuona usiku bila tochi!