Msimamia Ukucha
Senior Member
- Feb 11, 2013
- 146
- 42
we dogo ili jukwaa siyo sehemu yake kabisaa ya mada uliyoileta hapa,kwani hamna facebook page ya ardhi ukouko ndo ukamfanyie campaign na kumnandi kilaza mwenzio ukooo.....saa nyingine izi bangii mnazovuta zina run crazy brain zenu etii "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."kama sio upumbavu ni nini??uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia katika kula za maoni za kupata wagombea ameonekana kuwaacha wenzake kwa kura nyingi sana na pia kuonekana kukubalika katikati ya viongozi wenzake!!! "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."
we dogo ili jukwaa siyo sehemu yake kabisaa ya mada uliyoileta hapa,kwani hamna facebook page ya ardhi ukouko ndo ukamfanyie campaign na kumnandi kilaza mwenzio ukooo.....saa nyingine izi bangii mnazovuta zina run crazy barin zenu etii "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."kama sio upumbavu ni nini??
uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia katika kula za maoni za kupata wagombea ameonekana kuwaacha wenzake kwa kura nyingi sana na pia kuonekana kukubalika katikati ya viongozi wenzake!!! "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."