Uchaguzi wa chuo kikuu ardhi wapamba moto!!! Kampeni zateka kila kona!!!

Uchaguzi wa chuo kikuu ardhi wapamba moto!!! Kampeni zateka kila kona!!!

Msimamia Ukucha

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
146
Reaction score
42
uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia katika kula za maoni za kupata wagombea ameonekana kuwaacha wenzake kwa kura nyingi sana na pia kuonekana kukubalika katikati ya viongozi wenzake!!! "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."
 
Mmh siasa za chuo bwana! Hapo full kuchafuana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cha msingi msiingize siasa za UCCM na UCHADEMA kwenye uchaguzi wa chuo chenu, angalieni kama ana sifa za kuwaongoza then mpeni kura awe kiongozi wenu
 
uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia katika kula za maoni za kupata wagombea ameonekana kuwaacha wenzake kwa kura nyingi sana na pia kuonekana kukubalika katikati ya viongozi wenzake!!! "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."
we dogo ili jukwaa siyo sehemu yake kabisaa ya mada uliyoileta hapa,kwani hamna facebook page ya ardhi ukouko ndo ukamfanyie campaign na kumnandi kilaza mwenzio ukooo.....saa nyingine izi bangii mnazovuta zina run crazy brain zenu etii "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."kama sio upumbavu ni nini??
 
we dogo ili jukwaa siyo sehemu yake kabisaa ya mada uliyoileta hapa,kwani hamna facebook page ya ardhi ukouko ndo ukamfanyie campaign na kumnandi kilaza mwenzio ukooo.....saa nyingine izi bangii mnazovuta zina run crazy barin zenu etii "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."kama sio upumbavu ni nini??

Wala usimtukane, acha niwasiliane na Paw ili aweze kumshughulikia ipasavyo.
 
Last edited by a moderator:
uchaguzi mkuu wa chuo kikuu ardhi umezidi kushika kasi kwa mgombea makini mweshimiwa SABINI (MGOMBEA URAIS) kuendeleza kampeni na kuonekana kukubalika sana katika school zote za chuoni. Na pia katika kula za maoni za kupata wagombea ameonekana kuwaacha wenzake kwa kura nyingi sana na pia kuonekana kukubalika katikati ya viongozi wenzake!!! "CHAGUA SABINI KWA MAENDELEO YA CHUO KIKUU ARDHI."

Wadau wangu, hemu mchukulieni hatua zinazo stahili huyu kijana, kwani amekiuka kanuni za upashanaji habari na mijadala ya humu jamvini, kanuni hazielekezi kuleta kampeni tena za vyuo humu jamvini, hii haina tofauti na kutangaza bidhaa kama sabuni, vijiko n.k, kila mtu akileta uzi wa namna hii jukwaa litapoteza heshima. Tafadhali sana, hatua zichukuliwe.

Paw, Buchanan, Cookie.
 
Last edited by a moderator:
Acha tabia za kishamba wew, unadhani jamii forum ya babako, hujawah leta mada na ubongo wako sawa na mose.
 
Back
Top Bottom