Uchaguzi wa Gari zuri

Uchaguzi wa Gari zuri

Mangusha1040

Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
98
Reaction score
205
Habari za leo wanajamvi
Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama
1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku)
2. Upatikanaji wa vifaa
3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu
Ni lipi gari zuri kati ya hizi
1. Subaru XT
2. Suzuki VITARA (SALOMON)
3. Mitsubishi Outlander
4. Toyota Vanguard/RAV 4
 
Nataka gari sio kulia lia soma post vizuri uelewe na sio gari langu la kwanza wala la pili. Ila nataka kubadilisha ladha. Kama huna cha kuchangia kama kimya
Hayo si mambo yako binafsi sasa unayaleta hadharani ya nini, una expose njaa zako, mtu ambaye anajimudu awezi kuwa na considerations za hayo mambo madogo madogo
 
Back
Top Bottom