Uchaguzi wa Gari zuri

Uchaguzi wa Gari zuri

Kama pesa inaruhusu nunua toyota suf, new model hii ni gali ambayo unaweza kuitumia kwa matumizi yote, ukiwa mjini unakula nayo bata lkn pia shamba inakwenda, inafasi kubwa nyuma ya kuweka mizigo ina seat 5, na gari ipo juu,

Kuhusu ulaji wa mafuta ,

Nk waulize wajuzi lkn hii ni moja ya gali ya ndoto yangu
 
Habari za leo wanajamvi
Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama
1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku)
2. Upatikanaji wa vifaa
3. Ubora na kudumu kwa gari kwa kuzingatia mazingira ya barabara zetu
Ni lipi gari zuri kati ya hizi
1. Subaru XT
2. Suzuki VITARA (SALOMON)
3. Mitsubishi Outlander
4. Toyota Vanguard/RAV 4
Toyota Vanguard/RAV4
 
Kama pesa inaruhusu nunua toyota suf, new model hii ni gali ambayo unaweza kuitumia kwa matumizi yote, ukiwa mjini unakula nayo bata lkn pia shamba inakwenda, inafasi kubwa nyuma ya kuweka mizigo ina seat 5, na gari ipo juu,

Kuhusu ulaji wa mafuta ,

Nk waulize wajuzi lkn hii ni moja ya gali ya ndoto yangu
Ina cc ngapi?
 
WaTz washamba sana... Yaani ni kama vile mnaishi matakoni mwa dunia... Lack of exposure, poor thinking capacity... Badilikeni basi
 
Back
Top Bottom