eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ikumbukwe kuwa huu ni uchaguzi wa marudio baada ya ule wa kwanza kutupiliwa mbali na mahakama baada ya kuona ya kuwa uchaguzi huo ulikuwa na kasoro nyingi mno.
Baada ya kufuta ule uchaguzi wa kwanza, jambo lililotegemewa ni kuwa uchaguzi wa marudio ungekuwa na marekebisho makubwa sana kutokana makosa yaliyobainishwa kwenye ule uchaguzi wa kwanza. Lakini kilichoonekana wazi ni kwamba kasoro zilizojitokeza ni nyingi. Maswali ya kujiuliza kwenye uchaguzi wa marudio:
Kenya imeenda mbele au imerudi nyuma katika kutatua kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi uliopita?
Kupitia uchaguzi huu wa marudio, demokrasia ya Kenya imesonga mbele au imerudi nyuma?
Je kuna nafasi kwa wale wanaohisi kuhujumiwa kwenye uchaguzi wa marudio kurudi mahakamani?
Kuna kila dalili ya kuwa rais Uhuru hatakubaliwa baadhi ya maeneo ya nchi, hilo litatatuliwa vipi?
Uhuru Kenyatta atafanya nini kudumisha umoja wa kitaifa?
Kenya yagawika ikielekea uchaguzi mpya wa Rais Okt 26 | Matukio ya Afrika | DW | 23.10.2017