Uchaguzi wa Kenya: Kilichokataliwa kilikuwa bora zaidi kuliko kilichotarajiwa kuwa bora

Uchaguzi wa Kenya: Kilichokataliwa kilikuwa bora zaidi kuliko kilichotarajiwa kuwa bora

Usikurupuke bwana mdogo, organise your mind before you attemp to do anything in here.
We mwenyewe umekurupuka mzee, hapa si nyumbani kwako unapojifanya jogoo. Hapa ni jf ikikuuma sana soma gazeti kama wazee wenzako.
 
Acha wakome wameyatengeneza weenyewe

.....Haya ndiyo mawazo yaliyochangia TZ miaka 50 plus bado huduma muhimu tuko nyuma, tunaona kila kitu ni sawa tuu na hivyo na wenzetu Kenya wangepiga kimya tuu.
 
.....Haya ndiyo mawazo yaliyochangia TZ miaka 50 plus bado huduma muhimu tuko nyuma, tunaona kila kitu ni sawa tuu na hivyo na wenzetu Kenya wangepiga kimya tuu.
Afrika kuna kitu tunachohitaji zaidi ya masanduku ya uchaguzi.
Libya haikuwahi fanya uchaguzi, lkn maendeleo yao yalizidi zile nchi zinazofanya uchaguzi.
uchaguzi siyo maendeleo.
 
Nimekubaliana na hoja zako bila hata kusoma post, nimesoma tittle tu nikaelewa.
 
Sasa sehemu zingine kuna mbwa tu
kituoni huo uchaguzi gani!
Sasa sehemu zingine kuna mbwa tu
kituoni huo uchaguzi gani!
mamaa kama hiyo avatar pic ni yako,kwa kweli Mwenyezi Mungu kakubariki kwa uzuri....anyway tukiacha hizo pic za mbwa kuna zingine naona watoto.je wanaruhusiwa kupiga kura au??nimechanganikiwa kidogo hapo
 
Nimekubaliana na hoja zako bila hata kusoma post, nimesoma tittle tu nikaelewa.

halafu katiba yao ni kama mchimba kisima kaingia mwenyewe. wamejitengenezea katiba ambayo badala ya kuwa msaada inakuwa mtego. mfano ili rais apatikane lazima ashinde kura kwa 25% kwa country 24. sasa kwa turn up ilivyo sijui kama hiyo idadi itatimia!!??
 
Afrika kuna kitu tunachohitaji zaidi ya masanduku ya uchaguzi.
Libya haikuwahi fanya uchaguzi, lkn maendeleo yao yalizidi zile nchi zinazofanya uchaguzi.
uchaguzi siyo maendeleo.

....Hoja yangu ni kwamba wananchi wana wajibu pia wa kuhakikisha sheria zilizowekwa, hasa katiba, inafuatwa kwa sababu ni vigumu sana kuwapata viongozi wenye uwezo, nia thabiti, wapenda haki na usawa, wasio mafisadi etc all the time. Sasa the only way ni wananchi nao kushiriki kikamilifu kuhakikisha sheria zilizopo zinafuatwa na si kuwaachia viongozi eti watatenda miujiza. Wenzetu Kenya, pamoja na changamoto kibao wanazozipitia wanajitahidi; na kwa suala la Libya ni kweli but je kama asingeuwawa kuna uhakika gani kama mrithi wake naye angefanya wonders? Ndiyo maana baadhi yao (like Mugabe,Museni Kagame etc) wamejijengea mentality kwamba they are the only one who can rule....
 
H
52eb2f18964b233e0594dd5018db2f0a.jpg
How old are they????
 
seconded bro, but Kenya wamedumbukia kwenye kisima walichochimba wenyewe. their constitution is seeking more perfectionism rather than being a framework.
 
seconded bro, but Kenya wamedumbukia kwenye kisima walichochimba wenyewe. their constitution is seeking more perfectionism rather than being a framework.

....Good and agreeable but they have shown very good direction na kwa hakika wamejifunza tena namna nzuri ya kuboresha. Mimi wakati ile hukumu ikisomwa niliifuatilia na kwa kweli kwa jinsi ushahidi na arguments zilivyokuwa presented it was obvious kwamba wale majaji wangeufuta uchaguzi (ingawa nilikuwa nina wasi wasi je wana ubavu kweli wa kufanya hivyo hata pale watakapobaini ni kweli tume imeboronga?).

Kitu ambacho siku ile tulianza kubishana na wenzangu ilikuwa ni kwa namna gani sasa uchaguzi utarudiwa kwa muda mfupi uliosemwa kikatiba, na kwa kutumia tume ile ile? Mimi nilitegemea majaji pia wangesema wote waliobainika au kushiriki kuharibu uchaguzi waondolewe mara moja na mchakato wa kupata wengine uanze mara moja. Pili majaji pia hawakuweka bayana au kusaidia kufafanua katiba inasemaje kwa kipindi hiki cha marudio nchi itaongozwaje? Matokeo yake ukaanza mvutano wa mara serikali ya mpito mara hivi etc....

All in all kwa hiki kilichojitokeza, wakiweza kuvuka salama huu uchaguzi wa marudio na baadae wakafanya marekebisho ya katiba yao ili kuingiza hizi changamoto zilizojitokeza kwa hakika watakuwa mbali sana, kumbuka sisi waafrika, hasa viongozi wetu pale wanapopata madaraka makubwa, waliowengi hubadilika na kulewa madaraka (wapo wachache ambao ni exceptional) na kuishia kuleta mateso makubwa sana kwa raia wao, so uwepo wa sheria za kuwabana, hasa Katiba ni very important. Zamani, nilipokuwa namsikia the late Nyerere kila mara akiongelea umuhimu wa viongozi na wananchi kutii katiba ya nchi nilikuwa simuelewi na nilikuwa naona he is wasting his time, but now......
 
Samahani kwa kwenda nje ya maada,Kuna hili swali linanisumbua sana Hivi mtu anapotamani sana kuwa raisi huwa anatamani kutumika au kutumia? Yaani n kwa manufaa yake au ya wengine
 
wengi wanakuwa na hamu ya kutumikiwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom