pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
We mwenyewe umekurupuka mzee, hapa si nyumbani kwako unapojifanya jogoo. Hapa ni jf ikikuuma sana soma gazeti kama wazee wenzako.Usikurupuke bwana mdogo, organise your mind before you attemp to do anything in here.
Hehehe ni kawaida sana kwa mtu kuota amefanya jambo kabla hata halijatendeka. Si mara moja nimefanya hivo.Kwa hiyo wewe ni 'clairvoyant' eeh au ndo mpaka kwa wanaoelewa tu
Acha wakome wameyatengeneza weenyewe
Afrika kuna kitu tunachohitaji zaidi ya masanduku ya uchaguzi......Haya ndiyo mawazo yaliyochangia TZ miaka 50 plus bado huduma muhimu tuko nyuma, tunaona kila kitu ni sawa tuu na hivyo na wenzetu Kenya wangepiga kimya tuu.
Sasa sehemu zingine kuna mbwa tu
kituoni huo uchaguzi gani!
mamaa kama hiyo avatar pic ni yako,kwa kweli Mwenyezi Mungu kakubariki kwa uzuri....anyway tukiacha hizo pic za mbwa kuna zingine naona watoto.je wanaruhusiwa kupiga kura au??nimechanganikiwa kidogo hapoSasa sehemu zingine kuna mbwa tu
kituoni huo uchaguzi gani!
Nimekubaliana na hoja zako bila hata kusoma post, nimesoma tittle tu nikaelewa.
Wewe Chadema hawapendi kusikia hiliKwa Afrika mshariki demokrasia bora ipo Tanzania Tu. Huko kwingine ni vituko tupu
Afrika kuna kitu tunachohitaji zaidi ya masanduku ya uchaguzi.
Libya haikuwahi fanya uchaguzi, lkn maendeleo yao yalizidi zile nchi zinazofanya uchaguzi.
uchaguzi siyo maendeleo.
How old are they????
Is he 18???
seconded bro, but Kenya wamedumbukia kwenye kisima walichochimba wenyewe. their constitution is seeking more perfectionism rather than being a framework.....Hoja yangu ni kwamba wananchi wana wajibu pia wa kuhakikisha sheria zilizowekwa, hasa katiba, inafuatwa kwa sababu ni vigumu sana kuwapata viongozi wenye uwezo, nia thabiti, wapenda haki na usawa, wasio mafisadi etc all the time. Sasa the only way ni wananchi nao kushiriki kikamilifu kuhakikisha sheria zilizopo zinafuatwa na si kuwaachia viongozi eti watatenda miujiza. Wenzetu Kenya, pamoja na changamoto kibao wanazozipitia wanajitahidi; na kwa suala la Libya ni kweli but je kama asingeuwawa kuna uhakika gani kama mrithi wake naye angefanya wonders? Ndiyo maana baadhi yao (like Mugabe,Museni Kagame etc) wamejijengea mentality kwamba they are the only one who can rule....
seconded bro, but Kenya wamedumbukia kwenye kisima walichochimba wenyewe. their constitution is seeking more perfectionism rather than being a framework.
Wakenya wanajifanya kujua Sana matokeo ndiyo haya. Nchi imebaki katika suspense kwa muda Na gharama zisizokuwa Na maana eti kisa mahakama imefuta uchaguziSasa sehemu zingine kuna mbwa tu
kituoni huo uchaguzi gani!
Yes, he is above 18years old, problem of Kenya is stunting because they don't have enough foodIs
Is he 18???
Hao ni makelele tu, hakuna nchi mbovu kama Kenyanashangaa middle income economy kuna starvation na malnutrition.