Kinachonishangaza ni hesabu ya waliopiga kura. Bwana Chebukati anasema ni 48% na idadi yao ni 6.5 millioni. Ila waliojiandikisha ni 19 millioni. Hebu tujiulize, hivi 6.5 millioni ni 48% ya 19 millioni? Jibu ni hapana! 6.5 millioni ni 34.2% ya 19 millioni. Yaani huyu Bwana ameanza kupika matokeo asubuhi na mapemaKilichofanyika leo ni bora uchaguzi na si uchaguzi bora kama ilivyokuwa ikitazamiwa na wengi.
Leo ulikuwa ni uchaguzi wa bora liende.
@ mwaswast
Wanaruhusiwa kwetu Afrika.Mbwa hawaruhusiwi,kupiga kura?
Kwa Afrika mshariki demokrasia bora ipo Tanzania Tu. Huko kwingine ni vituko tupu
Hapa Tz kuna demokrasia gani bora?! Hizi ni akili matope kabisa[emoji35]
WASIOJULIKANA HAWAJULIKANI...Facts please.ni kama wale waliomuangamiza Musando. Walikuwa watu WASIOJULIKANA lkn wanahisiwa kutoka eneo linalojulikana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sanaKwa Afrika mshariki demokrasia bora ipo Tanzania Tu. Huko kwingine ni vituko tupu
Ilitaka ubaki hapo hapo?halafu wakaupeleka mawili wa Musando mortuary.
Fuatilia habari credible wacha hadithi za vijiweni.walioileta waliitoa wapi??
coz by surprise wakaikuta mortuary. sijui ilienda ikiwa invisible??
The dead tell no tales.credible ndo zilisema alivyo potea wakamkuta kwenye friji za mortuary.