Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa kutabiri.
Isipokuwa Bishop mmoja wa Nigeria ambaye two months ago alisema Raila hawezi kushinda kwa ajili ana laana ya baba yake.
Anasema Jaramogi alifanya makubaliani na ancient demon au Asian demon, lakini hakutimiza masharti ya yule demon. Sasa laana itamfikia Raila. Lakini yule Bishop,he gives himself away. Pale mwanzo anasema,:"Sisi watu wa dini tuache kuwasapoti watu ambao wakipata uongozi hawatupi zawadi yoyote".
I hope Wakenya watapiga kura kwa amani. Halafu Mkuu wa Majeshi Kenya ni mpya,Luteni Jenerali Peter Njiru ambaye ameteuliwa mwezi uliopita.
As I said tatizo ni prana. Wakenya wakifikiria huu ni uchovu wa kampeni tu leo Wakenya watamchagua Raila kuwa rais.
Raila alikataa kufanya debate na mpinzani wake. Alisema Ruto ni mhalifu wa aina fulani. Haya mambo ni important. Haya mambo ya uhalifu,mambo ya kuvunja Amri Kumi za Mungu,kwa kweli ndio yanayoiongoza historia.
Ingawa waty wanapenda kuzunguzia kuhusu very complicated theories as to why there was the French Revolution or the Russian Revolution or the Iraq War or some other war. Watu wanaweza kuvumilia mateso ya njaa muda mrefu sana. Lakini ukimtukana Mungu unakwenda na maji mara moja.
Nadhani watu wa dini Kenya wanayo agreement kwamba hawatamtabiri mshindi. It is dangeroud. Unaweza kuwa scalped for saying this or that person will win.
Mimi sijafuatilia Uchaguzi wa Kenya isipokuwa jana tu ndio nimetazama items chache na ndio nime notice Raila anechoka sana.