Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

Status
Not open for further replies.

Mkuu Kanyaga twende ndio kumkoma nyani kwenyewe huko, aminia mkuu kamua, kamua tu mguu bati.....
 
Mkuu Kanyaga twende ndio kumkoma nyani kwenyewe huko, aminia mkuu kamua, kamua tu mguu bati.....

Masatu am serious on this . Mimi ndiye Joseph Cleophas Lunyungu sasa kama wajua wewe ES kwamba mke wanagu ananichapa makofi na kwamba nina mahusiano nje well and good . Nasisitiza come out clean eleza yote kwa ruhusa yangu mimi usione aibu dhihirisha kwamba wawajua watu humu na maisha yao . Vinginevyo sasa nitataka wajue kwamba wewe ni Muongo na nitakuelezea vilivyo na nilichokisema kwamba mko watoto wa nje ya ndoa leo mnatusumbua humu ndani kinasimama . Omba msamaha na withdraw uongo wako au la Invisible watch me I am going ballistic.

Kama unadhani uongo ndiyo itakupa heshima mbele za watu hapa you have pressed the wrong button
 
Jamani.. CCM wanaanza kutetemeka sasa.. mbona safari ndiyo imeanza tu...

kwani hilo pingamizi 2005 mbona halikuwekwa? ama kwa vile walikuwa na mabilioni waliochota BOT ya kuhonga?

Nakwambia mfa Maji haachi kutapa tapa.. wacha wazidi kujikoroga.. hapa ni moto mdundo mpaka 2010 wereeeeeuuuu!!
 

jamani tuacheni haya si mazuri

maana Lunyungu na ww inaweza akawa baba yako wa nje huwezi jua.

siri hizi wanazijua mama zetu tu.

kwa hiyo tusiyapekueni sana yatatushinda na tutafutuka
 
jamani tuacheni haya si mazuri

maana Lunyungu na ww inaweza akawa baba yako wa nje huwezi jua.

siri hizi wanazijua mama zetu tu.

kwa hiyo tusiyapekueni sana yatatushinda na tutafutuka

Nimesha tukanwa hapa na mimi natumia najina yangu real. Es kanishushia heshima yeye anatumia majina ya kujificha mimi yangu ni real . Kasema napigwa namke wangu makofi. Nataka asema mke yupi then kasema nina mwanamke wa mtu yuko Ubalozini Botswana nasema siwezi kupinga mafisadi then I do the same ufisadi . I would love to see him clearing my name. Is simple akija hapa na akasema amekosa kwa kuutafuta umaarufu wa mitandaoni kwa kupoteza muda wake nje na kuchunguza nani ni nani bila ya kuwajua for real.

Mimi ni Joseph Cleophas Lunyungu wa Mademla mwana Matandula .Haya ndiyo majina hadi ya Ukoo .Es come out am serious .
 

Kwa mujibu wa katiba pingamizi litahold tu kama vifungu vifuatavyo kuhusu kifungo vitakuwa valid

PHP:
(2) A person shall not be qualified to be elected or appointed
Member of Parliament if-
(a) such person possesses or voluntarily acquires the
citizenship of any other country; or
(b) in accordance with a law applicable in the United
Republic it has been formally certified that such
person is of unsound mind; or
(c) [COLOR="Red"]such person has been convicted by any court in the
United Republic and sentenced to death or to a term
of imprisonment exceeding six months for a
conviction of any offence however, styled involving
dishonesty; or[/COLOR]
(d) [COLOR="red"]within a period of five years preceding the date of a
General Election such person has been convicted
and sentenced imprisonment for an offence
involving dishonesty or for contravening the law
concerning ethics of public leaders[/COLOR]; or
(e) without prejudice to a person’s right and freedom
to hold his own views, to profess a religious faith of
his choice, to associate with others and to
participate in community work in accordance with
the laws of the land, no person shall be qualified to
be elected to the office of President of the United
Republic if he is not

na ufuatao ni ufafanuzi wa vifungu hivyo
PHP:
(7) The following rules shall apply for the purposes of
interpreting paragraphs (c), (d) and (e) of sub-article (2) of this Article,
that is to say-
(a) [COLOR="royalblue"]where a person has been awarded two or more
prison sentences to run consecutively, such
sentences shall be regarded to be separate provided
that each of the sentences does and exceed six
months; but if the period specified in any of the
sentences exceeds six months, such sentences shall
be regarded as one sentence[/COLOR];
(b) [COLOR="RoyalBlue"]if a person is sentenced to imprisonment where
he could other wise have been sentenced to a fine,
or where the sentence of imprisonment is imposed
for failure to pay a fine ordered, them, such period of
imprisonment shall not be taken into account[/COLOR].

Kwa maoni yangu hilo pingamizi lao halina supu(does not hold)
 
Bowbow: Hiyo umemaliza, wanajaribu kuleta dhoruba ya kisaikolojia, otherwise nafikiri hata wao wanajua hamna kitu hapo wanapoteza wakati tu na kujitafutia kuchukiwa zaidi!
 
Mkuu Lunyungu,

Ya ubalozi hayakuhusu, maana huishi nje na hukutukana mtu last two weeeks hilo unajua vizuri sana, aliyetukana watu hapa na anayehusika na hayo anajijua, kwa hiyo tuliza boli mkuu,

Kuhusu tatizo lako na watoto wa nje wa Tinga tinga, ukweli ni kwamba hapa JF hakuna hata mmoja, unayemuhisi ni mtoto wake wa kwanza, yuko NY anamiliki kampuni yake ya Trailers na yuko bussy sana kujihusisha na hii shughuli, maana sasa hivi ameshaanza kurushia vifaa bongo akijitayarisha kurudi bongo na kuanzisha kampuni ya usafiri wa ma-Trailer na kujiunga na siasa,

However, ninamfahamu kwa hiyo na ninaelewa kuwa hapa JF kuna watoto wanaodhani ni wa ndani, lakini kumbe mama zao waliwaibia baba zao, na baba zao wa kweli wanafahamika, badala ya walionao sasa wa kuchora, na mimi binafsi sitishiki kabisa na vitisho vyako, vipi tukiwasialiana ili tukutane tumalize mzizi wa fitina, badala ya kuharibu mada hapa JF? Na pia ningeomba uachane na jina langu mkuu, maana mwanafunzi hawezi kumshinda master aliyemfundisha mchezo,

Again uchaguzi uko Kiteto, mimi siwezi kupoteza muda na ujinga, but sina noma kuujibu, at anytime, kwa hiyo mkuu ninarudi kwenye kazi ya kujenga taifa, nitarudi baadaye, ila please achana na jina langu la FM-ES maana lina represent real deal na sio hayo unayojaribu kunitwika sio yangu, maana yangu unayajua vizuri, sifa za hii Jf huwezi kuzipata kwa kunisingizia kuwa something I am not, na anything to do na ES amabacho hakihusiani na hoja za siasa, itajibiwa exactly as it is maana kama nilivyosema watu wazima hawatishani nyau mkuu, not me na never!

Mkuu Masatu,

Watu hurukia treni mkuu sio wanaume wengine kama wao, maana dunia sio ya kuaminia mwanaume mwenzio, vipi huko uliko nako kuna internet kumbe?

Super Super ES! kumkoma nyani mpaka giladi na mwendo uendelee kuwa mdundo!
 
Haya kuna barua ambayo nimeituma Kiteto leo... katika kuchochea harakati hizi za Kampeni. Wengine mnaweza kuiona sehemu yake kwenye makala yangu ya leo kwenye Tanzania Daima.
 

Attachments



Hear no evil, see no evil, say no evil ...............
 
Integrity?

Quote:-


Lunyungu

JF Senior Expert Member Join Date: Tue Dec 2006
Location: Malampaka
Posts: 1,754
Rep Power: 25

Dear Es kama kuna mahala huwa nafika nakubali kwamba you can do politics and not politics to do you


Thank You Sir!
 
Wanaume bwana wakati mwingine, sasa hii ni nini au ndo mnazichulia kampeni za kiteto?
 
Es mimi ni liberal na daima ukisimamia haki sitasita kukupongeza kama ninavyo fanya kwa wengine . Hili la kulitumia jina langu nimelalamika cause was too low. Lakini umesema si mimi bali ni mwingine fine .I will not go into confrontation mimi ni mtaarabu. Sikutaka kuwa FISADI wakati nawapinga mafisadi hapa .

Kiteto is the issue hapa naomba wote tuendelee na kiteto tafadhali .
 
very good.. now.. ni kampeni za namna gani ziendeshwe Kiteto ambazo zinaweza kusababisha CCM ku anguka?
 
Mkuu Masatu,

Watu hurukia treni mkuu sio wanaume wengine kama wao, maana dunia sio ya kuaminia mwanaume mwenzio, vipi huko uliko nako kuna internet kumbe?

Super Super ES! kumkoma nyani mpaka giladi na mwendo uendelee kuwa mdundo!

ES,

Huu ni mjadala wa wazi kwa kila mtu hakuna suala la kurukia Treni wala Lori hapa. Weka hoja unakuwa wa kwanza kutukana lakini ukirudishiwa unaanza kulia lia, if u cant take the heat get out of kitchen!

Kiteto kiteto! Dume la mbegu linapasha huko hapatoshi.

Mwakjj naona ushafanya jambo forums ni jukwaa la upinzani hususan Chadema good job keep it up...
 
Binti Maria, una maana wazigawe hizo chenji au wawe wanazichezea chezea kama wauza karanga ili kuwavutia wasikilizaji?

Masatu, this one is on me.. na nikishindwa kuongoza kampeni hizi Kiteto na wakachagua CCM nitachukua likizo ya mwezi mzima ili niamue rasmi kujiunga na chama tawala.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…