Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

Status
Not open for further replies.

Kama nilivyoandika huo ni 'USHAURI WA BURE'

Una hiyari kuutumia au kutoutumia.

The rest remain to be the FACTS ambazo sio mimi wala wewe tunaweza kuzikataa.

Need I say more?
 

Goodluck!...
 
Tatizo la Chadema ni pupa, jazba na papara. I hope and wish wataangukia pua....

Mwakjj naona ushafanya jambo fulani ni jukwaa la upinzani hususan Chadema good job keep it up...

Masatu, hata ku-comment kuhusu uwezo wako wa kufikiri na kuropoka siwezi maana ni waste of time, sina haja ya kuandikia mate na wino huo hapo juuu unajisema wenyewe,

Kuhusu ya chini hapa,

Weka hoja unakuwa wa kwanza kutukana lakini ukirudishiwa unaanza kulia lia, if u cant take the heat get out of kitchen!

Hujanitendea haki mkuu, matusi huwa sianzi hata siku moja, na wala majina ya watu au ID za watu hapa, ndio maana toka nijiunge BCS, TEF, na sasa JF sijawahi kufukuzwa, kusimamishwa, wala kuonywa kuhusiana na any of your accusations, as opposed n "wenzetu" wengine ambao wamefukuzwa, wamesimamishwa, na wameonywa mara nyingi sana hapa. Mimi nisipoweza ku-take the heat basi hakuna wa kuweza hapa mkuu, ndio maana nikapewa cheo cha "Field Marshall", nilipewa na Mkuu "Philemon Michael", ambaye viatu vyake kisiasa na kimaisha, siwezi hata kuvibeba licha ya kuvivaaa baaada ya yeye kuridhika na kazi yangu hapa, ya kuelimisha na kuelimishwa, na hasa commitment yangu kwa JF, na kutetea wananchi wanyonge kwa ujumla.

Heat za kisiasa nimepitia makaa ya moto, na hasa kwenye uchaguzi wa rais uliopita, ukitaka nitakutumia kakitabu kadogo, ambako kaliandikwa na Salim, kwa siri kule London na kusambazwa usiku kwa wajumbe wa uchaguzi kule Dodoma, kinachomtukana Tinga Tinga na kumvua nguo, haya ya hapa JF ni nothing mkuu, lakini tulicheza na uchaguzi mpaka mwisho bila kukimbia the heat, na mpaka leo tunaendelea na tupo hapa tunamkoma nyani!

Kwa hiyo mkuu heshima ni kitu cha bure, usinisingizie maneno ya uongo, na ni vyema ukaomba radhi maana mimi ES sijawahi kuwa the aggressor, lakini ukinitukana ni lazima nikujibu tena mpaka ndani kwako maana ndivyo nilivyojifunza kwenye siasa, na sitabadilika kwenye hilo,

Sasa uamuzi ni wako mkuu, kusuka au kunyoa!
 
Es mimi ni liberal na daima ukisimamia haki sitasita kukupongeza kama ninavyo fanya kwa wengine .

Mkuu Lunyungu,

Respect, I hope nimekupata kama ulivyonipata, lets talk politics za taifa langu na lako bila kutishana, believing kuwa wote tuna uchungu sawa ingawa tuna mitizamo tofauti ya namna ya kulisaidia taifa letu, tujibizane kwa hoja, na sio kuleteana viroja na tuheshimiane kama vile ninavyowaheshimu watu wote hapa JF, nimeambiwa kuwa kuna majina umeyasema hapa lakini sikuyaona na hayanihusu anyways kwa hiyo I could care less!

Mawe ya ku-cheat sikuwa ninakulenga wewe, na nimeshangazwa sana kuona umehamaki kwa kitu kisichokuhusu, lakini kuna yanyemuhusu.

Now lets move on mkuu, yaliyopita yamepita, taifa liko njia panda, lete maneno ya uchaguzi huko maana ninaaamini kuwa uko huko ground zero, yaaani Kiteto!

Ahsante Mkuu!
 

Wow nimekosa mengi hapa...................

Nakulilia Tanzania...........wakati nasoma post yako nzuri...........kidogo umenichanganya, Is Nakulilia Tanzania=Kitila Mumbo? if yes why then use a nickname.........maana mwenzetu uliamua kuwa straight on your ID.......anyway tuyaache hayo maana nyie ndio viongozi wetu wa baadaye etiiii

Kiteto,
sina hakika kama profile za wagombea zilishawekwa hapa................ingekuwa bora kama profile za hawa wagombea zingewekwa wazi ili watu Tumkome Nyani mchana kweupe............nasisitiza tusiangalie ushindi kwa ajili ya eti anaotka upinzani NO tuwachambue wagombea iregardless of their party.........kwani hata wapinzani waweza kutuwekea MAFISADI vile vile.............lets evaluate wagombea please!! then tupige kampeni

Kama JF ni wapigania haki na uadilifu na basi tuonyeshe true colors zetu kwa kunyumbulisha wagombea na tuwapigie kampeni kwa kile tunachoamini watatupigania kule bungeni..........haya mambo ya samaki mmoja akioza huwa nayaita ni sawa na kusema eti ukweli/FACTS hupigiwa kura!!!!! NONSENSE.........huwezi kupigia kura FACT
 
Mkuu Kitila,

Heshima mbele, maneno yako ni mazito na nidyo elimu yenyewe inayohitajika kwa wananchi wetu, isipokuwa tu kuna too much Mkapa, huyo sasa ni history na wananchi wengi wameshamsahau kwenye siasa, tunamlilia kwenye sheria, lakini ningeshukuru kama ungelia sana na baadhi ya viongozi wetu wa sasa ambao ni wabovu na wanfahamika, hukuwakoma giladi vizuri mkuu,

Lakini heshima mbele, kwa article mkuu!
 
ES,

Hiyo resume yako sijui BCS sijui TEF it has nothing to do with me keep it 2 urself.

Umeniambia nina hoja za chooni ooh is that meant to a compliment?

Well my principle is like this ukinipa kibao nakurudishia ngumi FULL STOP!
 
Ngumi sijaziona ila hoja za chooni, na kutukana watu by the way did you say principle? Do you have one? really? Priiiiiiincipleeeeeeeee! siihitaji tena!
 
hapa mwisho tukubali matokeo na tusije hapa na kutoa visababu vya kipumbavu

ushindi si upinzani kushinda bali ni wananchi kushinda na kushinda wananchi kwa wanachi ni kupata muwakilishi alie bora kwao
 
Ngumi sijaziona ila hoja za chooni, na kutukana watu by the way did you say principle? Do you have one? really? Priiiiiiincipleeeeeeeee! siihitaji tena!

Well if its hoja za chooni kwanini unapoteza ur precious time kujibu? thats means una majibu ya mavi then......
 

Ogah, chondechonde mimi sio Nakulilia Tanzania, huyu bwana/bibi nafikiri alibandika tu article yangu hapa kama wafanyavyo wengine wanapoweka habari za kwenye magazeti. I hope am clear enough na nitakuwa nimekuweka sawa. Ila next time usifikie conclusion kabla hujajua ukweli wa mambo. Nimeshtuka sana na conclusion yako hapo kwamba "nyie ndio viongozi wetu wa baadaye", ni kama vile ulisha-conclude kwamba huyo Nakulilia ndio mimi ina another name!
 
Kitila I like that piece very much sir!


Thanks; ile barua yako pia ni kali sana. Kuna watu wamenipigia simu wanasema wanapiga copy hizo article mbili wanataka kusambaza kila nyumba huko Kiteto, nami nikawaambia great kama itasaidia kumuongezea kura Kimesera.
 

Shukrani. Nianzia kwa Mkapa kwa sababu nilikuwa najaribu kuonyesha kwamba tatizo tunalopambana nalo ni system kuliko mtu moja moja.
Kwa hiyo haitoshi sana kumtoa fisadi moja bali ushindi utapatikana kwa kuushinda mfumo unaozalisha ufisadi au unaofanya watu wawe mafisadi.
 
Pingamizi limetupiliwa mbali na hivyo kampeni kama kawaida .

Baada ya mawakili wa ushirikiano wa vyama kuweka argument zao m,ezani imefikia kuwa watu wa CCM wameshindwa kujibu hoja na hivyo msimamizi wa uchaguzi kuamua kulitupilia mbali pingamizi lao .

Tuendelee sasa na mikakati ya jinsi ya kuweza kuendesha kampeni japo sikubaliani na aliyesema kuwa wapinzani waende huko na pesa kwani huu ndio ugonjwa unaoliua taifa hili .

Sioni kama ni busara hata sisi wa hap kufikiria kuwa pesa zinaweza kusaidia kwenye kushinda uchaguzi kwani hii ni imani potofu na ndio inasababisha kuibiwa kwetu kama ilivyotokea BOT na hata kuongezwa kwa mkataba wa TICS eti achangie kampeni kwanza ....
 
KITILA UNA AKILI SANA KUKAA UPINZANI.COME BACK HOME KAKA

Yaani hawa ni wale ambao hawawezi kuishi bila kuisifia CCM kila kukicha .

Eti home ni kukaakaribu na mafisadi na kujipaka ufisadi is this what you mean?

Do real Kitila need an advice from a person like you?
 
Pingamizi la Kiteto limetupiliwa mbali na hivyo kampeni kama kawaida na huu ni ushindi wa kwanza kwani walau wapinzani wameweza kupata kona dakika ya kwanza baada ya kipa kupangua shoot kali....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…