Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

Chat yao tokea mwaka 2000 mpaka sasa inapanda au inashuka? Tafakari!
 
Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
Hata mwaka huu haitokuwa naye. Lakini muhimu ni kwamba wananchi kwa wingi wao wanazidi kususia chaguzi za mchongo!
#No_Reforms
#No_Elections
 
2015 waliazima Mgombea
Kuna ubaya gan? Rudia na tafakari baadhi ya nukuu za Hayati Mwalimu J.K.Nyerere.. kuhusu CCM na wanachama wake pindi watakapo kengeuka…na hapo 2015 baada ya kuazima matokeo yalikuaje?
 
MATOKEO yalikuwa afadhali
 
Kuna ubaya gan? Rudia na tafakari baadhi ya nukuu za Hayati Mwalimu J.K.Nyerere.. kuhusu CCM na wanachama wake pindi watakapo kengeuka…na hapo 2015 baada ya kuazima matokeo yalikuaje?
Toka 2015 CCM ni wamoja hata walioondoka walirudi.
msipotoshe kauli za Mwl.Nyerere
 
Hata 1995 hawakuwa na mgombea Urais

Sera ya Chadema haikuwa kushika Dola bali kukamata fursa mbalimbali za Uwekezaji

2004 Mbowe alivyokamata Uenyekiti ndio akabadilisha Sera ili kubunya Fedha za Wana mtandao 😂
 
Back
Top Bottom