Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo.

Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu Maalumwa kumchagua Mwenyekiti wake wa taifa jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Makao Makuu ya Chama.

Wajumbe wengi wapo ukumbini

Updates:


Bashiru ndani ya mkutano mkuu
 
Kikundi cha kukwamisha Tanzania kusonga mbele. Miaka 60 wanazungumzia fly overs shame on them, mnajaza matumbo yenu tu halafu mnatapeli watu kuwaita wanyonge
 
Mzee Kikwete anajipenda sana... barakoa hajaisahau
 
Sekretalieti inatangazwa leo?
 
amenishtua sana ...all in all kila kitu kitaenda kama kilivopangwa
Kwa lipi mkuu? Tusaidie kujua sisi wengine ambao kwa muda huu tuko ktk mazingira ambayo tunategemea JF tu
 
Reactions: Lee
Kwa lipi mkuu? Tusaidie kujua sisi wengine ambao kwa muda huu tuko ktk mazingira ambayo tunategemea jf tu
Alimaliza kwa kusema anaamini zitapatikana kura anazozitarajia na si vinginevo japo aliongea kinyonge kidogo
 
Zoezi la upigaji kura ni kiboko....kama hii ndio demokrasia kwenye vyama vyetu vya siasa basi Afrika tuna laana kubwa kuliko ya Kaini wa kwenye Biblia!
 
alimaliza kwa kusema anaamini zitapatikana kura anazozitarajia na si vinginevo japo aliongea kinyonge kidogo
Duuh! Itakuwa kunafukuto kubwa huko ndani ya CCM. Wasipoangalia watatoana roho.

Asante sana kwa dondoo hili mkuu
 
Reactions: Lee
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo.

Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu Maalumwa kumchagua Mwenyekiti wake wa taifa jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Makao Makuu ya Chama.

Wajumbe wengi wapo ukumbini

Updates:









 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…