Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Ukiwasha TBC Ghafla Unaweza Kufikiri ni Shamba la Migomba kumbe ni Mkutano Mkuu-Dodoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ulitaka uone rangi nyekundu?

Huu mkutano hadi Lisu anafuatilia nmeona ameposti picha akiwa anafuatilia kupitia tbc.
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa.

Kadhalika RC mstaafu wa Dar es salaam Paul Makonda ameonekana akisalimiana na kukumbatiana na wanaccm mbalimbali na tayari kuna fununu kuwa huenda ndiye mrithi wa comrade Polepole.

Ngoja tuone.

Kazi Iendelee!
 
Waliobeba mabango na kucheza muziki namuona Fally Ipupa(Mwanamuziki wa Congo) au ni Mbasha macho yangu ndio hayaoni vizuri?
 
Aisee Maisha yanaenda kasi sana, akina Dokii wameshamsahau mwendazake wanalisakata taarabu tu ukumbini, hata siku 50 hazijapiata. Mimi ndio maana watu wanaokomaa kusave hela huwa siwaelewi kabisa, ukiondoka mzee hakuna chako tena.
 
Kwa mwenendo iliyokuwa inaenda nayo CHADEMA tulikionya kuwa kinajichimbia kaburi lake yenyewe!

TSON akaenda mbali kusema 2013 ndo mwisho wa CHADEMA (chenyewe kikajitahidi mpaka 2020)

Ikiwa ni kweli (tunarudia) ikiwa ni kweli, Naona kabisa chama dume kikianza kukusanya Majembe, sururu, Makoleo .... (maandalizi ya kuchimba kaburi)
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa....
Watakuwa wamepotea sana kumpa Makonda nafasi hiyo ndani ya chama.

Kama CCM inahitaji kukubalika kwa watu, uweke wastaarabu na sionhawa wauaji.
 
Unajidanganya tu mkuu

Siasa za CCM hazina madhara kwa CHADEMA. Wanayoyafanya ndo hayo hayo yanayofanyika kila Rais mpya kupitia CCM anapopatikana.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…