Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mother Chawa akina Alikiba, Zuchu, Diamond etc mbona kawapotezea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee wewe umeona hii tu,Kumbe ccm nayo ipo vizuri
View attachment 1768808
Mother Chawa akina Alikiba, Zuchu, Diamond etc mbona kawapotezea?
Hahahaaaa Kibajaj!Sisimu hawawezi kuweka mtu mstaarabu kwa kuwa wanataka mtu wa kuropoka ropoka na kutukana kuwakata maini upinzani style za kina nape na makonda, kibajaji angekuwa na elimu nzuri wangempa lazima wazee wa kashfa.
Makonda hawezi kupewa nafasi ndani ya chama, labda akawe mjumbe wa shinaWatakuwa wamepotea sana kumpa Makonda nafasi hiyo ndani ya chama.
Kama Ccm ina hitaji kukubalika kwa watu, uweke wastaarabu na sionhawa wauaji.
Nafikiri toka 1954, hawa jamaa zetu hawajawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama. kinachoendelea ni kupachikana tu.Hii sio kufanya uchaguzi bali ni kusimikana katika nafasi za uongozi.
As longa as Kikwete ana influence ndani ya ccm sidhani kama Bashite atapata nafasi ya Uongozi na hata utendaji!!!Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa...
Kabisa kabisa..yaani Makonda hukohuko kwenye vijani ndo kunamfaa.Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa..
Hivi kwa nini walimlisha sumu huyu Mzee wa watu? CCM kuna mijitu ina roho mbaya sanaNamkubali sana huyu mzee
Usirithi maadui tengeneza wa kwako mwenyewe.As longa as Kikwete ana influence ndani ya ccm sidhani kama Bashite atapata nafasi ya Uongozi na hata utendaji!!!
Sasa kitaendeshwa na komredi Paul Makondajohnthebaptist kile kipindi cha papo kwa papo cha Comrade Polepole kimepata malaria?
UnasemajeKwa hiyo?
Sumu haionjwi by Sumaye!Hivi kwa nini walimlisha sumu huyu Mzee wa watu? CCM kuna mijitu ina roho mbaya sana
Atakuwa na vyeo vingapi?Hakika bwashee
Dr Mwigullu Nchemba anaweza kumrithi Dr Bashiru!
Endelea kukariri bwashee!As longa as Kikwete ana influence ndani ya ccm sidhani kama Bashite atapata nafasi ya Uongozi na hata utendaji!!!
Huyo Makonda hatufai Kama CCM watampa nafasi hiyo chama kitaenda mramaHamna namna inabidi tukubali matokeo tu