Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Mother Chawa akina Alikiba, Zuchu, Diamond etc mbona kawapotezea?
 
Mama anavyojua kutunza siri haitashangaza jina la Dr. Emmanuel Nchimbi likawa ndilo la Katibu Mkuu.
 
Watakuwa wamepotea sana kumpa Makonda nafasi hiyo ndani ya chama.
Kama Ccm ina hitaji kukubalika kwa watu, uweke wastaarabu na sionhawa wauaji.
Makonda hawezi kupewa nafasi ndani ya chama, labda akawe mjumbe wa shina
 
Hii sio kufanya uchaguzi bali ni kusimikana katika nafasi za uongozi.
Nafikiri toka 1954, hawa jamaa zetu hawajawahi kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama. kinachoendelea ni kupachikana tu.

Walichotakiwa kufanya ni kwamba Kiongozi wa chama angekuwa anachaguliwa kwanza then anakwenda kugombea Urais wa nchi but not the other way around.
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa..
Kabisa kabisa..yaani Makonda hukohuko kwenye vijani ndo kunamfaa.

Atukanane na maCCM yenzake hukohuko.
 
Hongera sana Mhe. Samia Suluhu kwa kuchaguliwa kwa kura zote 100% kuwa mwenyekiti wa CCM.

Hakika wana CCM na watanzania wote wana matumaini makubwa sana na wewe.

Mungu akusaidie wewe na wasaidizi wako
 
Back
Top Bottom