Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Dodoma: Rais Samia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa kwa kupata kura zote 1862 zilizopigwa

Huyo makonda hatufai Kama ccm watampa nafasi hiyo chama kitaenda mrama

Ameibia sana wafanyabiashara hela kwa kubambikia case za uhujumu uchumi, amepiga sana hela kwa kwenda nyumbani kwa watu ku search wanakuwekea drugs
 
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa.

Kadhalika RC mstaafu wa Dar es salaam Paul Makonda ameonekana akisalimiana na kukumbatiana na wanaccm mbalimbali na tayari kuna fununu kuwa huenda ndiye mrithi wa comrade Polepole.

Ngoja tuone.

Kazi Iendelee!
Sawa ila Bashite hapati chochote

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Na akipita mama atachukiwa kama alivyochukiwa JoM kwa sababu ya huyo Bashite
 
Huwezi sema umepotea wakati hujui unapokwenda
 
Ni desturi ya CCM, ingekuwa ajabu kumkatalia mama kuwa mwenyekiti, hata jinsi alivyoupokea uraisi isingekuwa vyema kumpinga kwa sababu ingezua maswali mengi.

Bado wanawake wangeamini kuwa sisi wanaume tunawakandamiza na hatutaki watutawale japo wao ni wengi sana kuliko sisi wanaume.
Imani yangu mama atapita tena 2025 kuwa Rais kama atakuwa hai na kama hata wavuruga makada wa CCM hii miaka 4.
 
Asiwaangushe wanawake wa Tanzania, Afrika na dunia, yeye atakuwa kielelezo cha kupima uwezo wa wanawake hapa Tanzania, Afrika na duniani.

Imani kwa wanawake itapimwa kwa wanawake waliopitia madaraka makubwa, ajue kuwa anadhamana kubwa sana sio kwa Tanzania bali wanawake wote wa duniani watamwangalia na ndio kitakuwa kioo chao, God bless her and protect her from evil spirit.
 
Back
Top Bottom