HujasikiaUnasemaje
NdioHujasikia
Bashiru anarudi kwenye nafasi yake.Karibu mkuu wa CCM asipotokea kanda ya ziwa,CCM 2025 itapoteza viti vingi sana vya ubunge
Panua masikioNdio
Astaghafirulilah lakwataaaa....Msambwanda wa ukweli huo.
Huyo makonda hatufai Kama ccm watampa nafasi hiyo chama kitaenda mrama
Sawa ila Bashite hapati chochoteMakamu mwenyekiti wa CCM mzee Mangula amesema Zege hailali na kwamba leo sekretarieti mpya itatangazwa.
Kadhalika RC mstaafu wa Dar es salaam Paul Makonda ameonekana akisalimiana na kukumbatiana na wanaccm mbalimbali na tayari kuna fununu kuwa huenda ndiye mrithi wa comrade Polepole.
Ngoja tuone.
Kazi Iendelee!
Hahahahahah HAIWEZEKANI KABISAAAHakika bwashee
Dr Mwigullu Nchemba anaweza kumrithi Dr Bashiru!
Mshindani wake aliambulia ngapi? Na alikuwa nani?
Atajihudhuru ubunge au?Bashiru anarudi kwenye nafasi yake.
Wapi imeandikwa hawezi kuwa katibu mkuu mpaka ajiuzulu ubunge?!Atajihudhuru ubunge au?
Kwa hiyo ameizidi rekodi ya mwendazake, maana alichaguliwa na wajumbe 1821... kwa kura zote 1862 za ndio za Mkutano Mkuu Maalum sawa na asilimia 100