Tetesi: Uchaguzi wa ndani CHADEMA wakigawa chama. Mbowe adaiwa kuwashughulikia wanaoutaka uenyekiti

Kama ccm ilivyogawanyika baada ya kuuzwa kwa mwekezaji
 
Kwenye chama chenu m/kiti wenu waga anagombea na nani. Kumbe umbeya hainaga jinsia hata wanaume wambeya wapo tu.

Unashindwa kuandika mambo muhimu yanayoweza kusaidia nchi unakuja kuandika upumbavu. Hopeless kabisa wewe.
Natayari walisha mkabidhi mwekezaji yaani ccm kwa sasa ni mali ya mtu
 
Ni noma huyu kiumbe. Alianza na lis akamtwanga risas, ila before that chach wang alimmaliz kwa ajal, hahaha genge la profesinal killa, mna kazi mnaoshabikia kundi la magaidi
 
Ni noma huyu kiumbe. Alianza na lis akamtwanga risas, ila before that chach wang alimmaliz kwa ajal, hahaha genge la profesinal killa, mna kazi mnaoshabikia kundi la magaidi
Kwa nini usimpeleke mahakamani?
 
Kumurika - kumulika

Lumumba mnatumia kumulika ??

Gari mnaita gali ?? reli mnaita leri ??, Mwenge umewatoa akili, haya katembeze mchana upate kuona vizuri
 
CDM inawapa shida sana akilini mwenu mpaka mnafikia kuua
 
kama ccm tu mwenyekiti ndo ni kila kitu. anaweza kutoa amri ya kufukuzwa hata wabunge wanaotetea wananchi waliowachagua. ccm ni janga...
 
ukitaka ujute kuzaliwa hoji au onesha nia ya kugombea uenyekiti wa chadema taifa

Huko CCM si kwamba ni hatari zaidi mara 1,000,00 plus!!??

Yaani ukikaa vibaya huko jamaa anaku - pyuu pyuu mchana kweupe mithiri ya digidigi kama alivyofanywa TL!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…