Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uchaguzi wa Rais huko Venezuela uko katika hali tete baada ya matokeo yaliyosambaa kutoka katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura kuonyesha Rais wa nchi hiyo Nicalas Maduro kushindwa kwa kishindo na mgombea wa upinzani Edmunds Gonzalez.
Hata hivyo kuna mashaka makubwa endapo Rais Nicolas Maduro atayakubali matokeo hayo na kuachia madaraka kwa mpinzani wake aliyeshinda.
Hata hivyo kuna mashaka makubwa endapo Rais Nicolas Maduro atayakubali matokeo hayo na kuachia madaraka kwa mpinzani wake aliyeshinda.