RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Hizo nchi 7 tajiri za Dunia nani anapanga huo mpangilio?.Ukomunist ni upubavu. Yaani kiongozi anakuwa na thamani kuliko Taifa. Angalia Tanzania kulivyo na upumbavu mwingi yaani kiongozi wa ccm anajiona mzalendo kuliko wengine.
Na nchi zote za kikomunist hakuna taifa lililoendelea kuwa kwenye nchi 7 tajiri za dunia.