Uchaguzi wa Rais Venezuela tafrani, upinzani washinda, matokeo hayatangazwi

Chavist
Maduro kashinda kwa kishindo kizito sanaaaaaaaaa
 
China wana maendeleo,
Russia hakuna kitu
Russia hakuna kitu ukilinganisha na nchi gani ukitoa France,USA,German na mataifa makubwa ya ulaya?...kuna kuda tunalishwa sana uongo.
 
Uchaguzi wa Rais huko Venezuela uko katika hali tete baada ya matokeo yaliyosambaa kutoka katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura kuonyesha Rais wa nchi hiyo Nicalas Maduro kushindwa kwa kishindo na mgombea wa upinzani Edmunds Gonzalez,

Hata hivyo kuna mashaka makubwa endapo Rais Nicolas Maduro atayakubali matokeo hayo na kuachia madaraka kwa mpinzani wake aliyeshinda.

View attachment 3055757
Hizo propaganda za Marekani na Ulaya na mgombea wao Mzayuni.

Venezuela hamna mafuta ya bure.

Free Free Palestina
 
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
 
🇷🇺🇻🇪⚡️Putin congratulated Maduro on his re-election as President of Venezuela

Imeisha hiiii
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
Kwa hii comment, hujui ujamaa ni nini na wala hujui ubepari ni nini
 
Inashangaza tunaishi kwenye nchi iliyowahi kuwa ya kijamaa lakini kuna watu hawajui kabisa ujamaa ni nini na ubepari ni nini
Huwezi kua working class halafu ukatetea ubepari.
 
Ukomunist ni upubavu. Yaani kiongozi anakuwa na thamani kuliko Taifa. Angalia Tanzania kulivyo na upumbavu mwingi yaani kiongozi wa ccm anajiona mzalendo kuliko wengine.

Na nchi zote za kikomunist hakuna taifa lililoendelea kuwa kwenye nchi 7 tajiri za dunia.
G7 ni maamuzi tu ya nchi kadhaa zenye malengo yao kuamua kutengeneza umoja wao. Kwani Italy ina kitu gani cha kumzidi China lakini yupo kwenye G7 na mchina hayupo?
 
Ukomunist ni upubavu. Yaani kiongozi anakuwa na thamani kuliko Taifa. Angalia Tanzania kulivyo na upumbavu mwingi yaani kiongozi wa ccm anajiona mzalendo kuliko wengine.

Na nchi zote za kikomunist hakuna taifa lililoendelea kuwa kwenye nchi 7 tajiri za dunia.
Vipi China na Russia
 
China, Vietnam
 
Wewe kwa akili Yako Russia wana maendeleo? China hawana ujinga kama wa Wakomunist wenzako Korea ama Venezuela ama Cuba. China ni pure capitalists ila Communism ni kwa ajili ya utamaduni tu. Urus hawana maendeleo kabisa. Hata raia wao hawana furaha kati ya mataifa mengi ulayaa.
Huwezi ukawa "pure capitalist" wakati huo huo ukawa "pure communist".
 
Wewe kwa akili Yako Russia wana maendeleo? China hawana ujinga kama wa Wakomunist wenzako Korea ama Venezuela ama Cuba. China ni pure capitalists ila Communism ni kwa ajili ya utamaduni tu. Urus hawana maendeleo kabisa. Hata raia wao hawana furaha kati ya mataifa mengi ulayaa.
We kweli ni 'The Lost' rudi ulikotoka usije kupotea zaidi
 
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
Nao ubepari hauna mazuri 100%
 
Back
Top Bottom