Uchaguzi wa Rais Venezuela tafrani, upinzani washinda, matokeo hayatangazwi

Chavist
Maduro kashinda kwa kishindo kizito sanaaaaaaaaa
 
China wana maendeleo,
Russia hakuna kitu
Russia hakuna kitu ukilinganisha na nchi gani ukitoa France,USA,German na mataifa makubwa ya ulaya?...kuna kuda tunalishwa sana uongo.
 
Hizo propaganda za Marekani na Ulaya na mgombea wao Mzayuni.

Venezuela hamna mafuta ya bure.

Free Free Palestina
 
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
 
🇷🇺🇻🇪⚡️Putin congratulated Maduro on his re-election as President of Venezuela

Imeisha hiiii
 
Reactions: Lax
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
Kwa hii comment, hujui ujamaa ni nini na wala hujui ubepari ni nini
 
Inashangaza tunaishi kwenye nchi iliyowahi kuwa ya kijamaa lakini kuna watu hawajui kabisa ujamaa ni nini na ubepari ni nini
Huwezi kua working class halafu ukatetea ubepari.
 
G7 ni maamuzi tu ya nchi kadhaa zenye malengo yao kuamua kutengeneza umoja wao. Kwani Italy ina kitu gani cha kumzidi China lakini yupo kwenye G7 na mchina hayupo?
 
Vipi China na Russia
 
China, Vietnam
 
Huwezi ukawa "pure capitalist" wakati huo huo ukawa "pure communist".
 
We kweli ni 'The Lost' rudi ulikotoka usije kupotea zaidi
 
Mfumo wa ujamaa na ubepari ni vitu viwili tofauti ila kiasili ujamaa hauna maana kwenye maisha ya mwanadamu make binadamu ni mbinafsi. Kuna watu kiasili ni wavivu hivyo ujamaa wanaitumia kama kichaka ila ubapari Kila mtu ajipambanie.
Nao ubepari hauna mazuri 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…