Uchaguzi wa Rais Venezuela tafrani, upinzani washinda, matokeo hayatangazwi

Hizo nchi 7 tajiri za Dunia nani anapanga huo mpangilio?.
 
Upo sahihi
 
Wew ndio hujui kitu aisee,
China ujamaa umebaki kwenye siasa, kwenye uchumi na maisha wachina ni wabepari pure, ndio mana unaona kuna very giant pvt companies kama Tencent na Alibaba
China, Vietnam
 
Wew ndio hujui kitu aisee,
China ujamaa umebaki kwenye siasa, kwenye uchumi na maisha wachina ni wabepari pure, ndio mana unaona kuna very giant pvt companies kama Tencent na Alibaba
Ujamaa ni nini ? Na ubepari ni nini ?
 
Ujamaa ni nini ? Na ubepari ni nini ?
Ujamaa, mifumo ya uzalishaji mali ni ya umma, no pvt ownership wa mali,

Ubepari, kila mtu ale kwa urefu wa kamba, ukiwa mvivu unakufa, ukiwa mchapakazi unamiliki nchi nzima,

Btw, best mode ni mixture
 
Ujamaa, mifumo ya uzalishaji mali ni ya umma, no pvt ownership wa mali,

Ubepari, kila mtu ale kwa urefu wa kamba, ukiwa mvivu unakufa, ukiwa mchapakazi unamiliki nchi nzima,

Btw, best mode ni mixture
Kajifunze kwanza.
 
All countries should stop interfering in the internal affais of others . ( US & G7 )
 
Uchaguzi wenyewe mgombea wa upinzania anafadhiliwa na CIA na marekani anataka kuwapa Nini wamarekani akishaingia ikulu? Raia wa venezuela akili kichwani kwenu.
 
Na tayari moto umeshawaka maana wamechezea matokeo nakumtangaza Maduro ndiye mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…