Uchaguzi wa raisi wa wanavyuo(TAHLISO) ni lini

Afcon 2027

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
648
Reaction score
1,121
Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi?

Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
 
Katika mambo yanayotia kinyaa ni hawa madogo. Huwa wanajikuta sijui ni akina nani? Ukiwakuta wamevaa Kaunda suits zao, wanajifanya watu wa system.
Ila wa kulaumiwa ni waliopo kwenye mfumo kwa kutengeneza vijana wa hovyo wanodhani UCHAWA ndiyo njia ya kutokea.
Mimi ni muajiriwa wa Chuo Kikuu kimoja kikubwa. Miaka kama 6 iliyopita kulikuwa na Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi wa chuo hicho.
Muda kama huo wa uchaguzi, hivi vyama vya siasa huwa wanatafuta watu wao wanaowaunga mkono na kuwapa resources ili kushinda uchaguzi. Hapa kwenye resources nazungumzia fedha na magari yanayotumika wakati wa kampeni.
Nafikiri viongozi wengi wa vyuo vya Umma wamepewa maelekezo ya kutoruhusu kijana yoyote wa mlengo wa Upinzani kushiriki au kushinda uchaguzi.
Sasa wakati huo kulikuwa na kijana mmoja (ninamfahamu kwa majina, naye pia ananifahamu) ambaye alikuwa anakubalika sana na wanafunzi na CHADEMA. Kijana akawasomesha viongozi wake wa chama na wakaelewa somo na kumuwezesha campaign resources.
Habari hii iliwafikia uongozi wa Chuo na Chama Tawala. Maagizo yakatolewa kuwa jina la yule dogo likatwe kabla halijaingia kwenye ballot papers. Na kweli, Dean of Students akafanya hivyo wakati wa usaili. Majina yalipotoka, jina la dogo alikuwepo.
Dogo alienda kushauriana na viongozi wake wa Chama na kuamua kuandika barua ya kwanini jina lake lilikatwa. Utawala wa Chuo walimpa majibu ya kiburi. Baadaye dogo akaamua jambo likaamuliwe Mahakamani.
Nakumbuka kipindi hicho dogo alikinukisha hadi akapewa suspension ya muda usiojulikana.
Mhe. Tundu alipewa jukumu la kumsimamia kijana Mahakamani. Hapa ndipo Uongozi wa Chuo ukaona hii kesi ishakuwa ngumu, maana wanajua Lissu huwa hana shughuli ndogo. Wakaamua wamuite dogo na Wakili wake ili wayamalize.
Baadaye niliona dogo karudi kuendelea na masomo na alianzisha biashara kubwa sana. Za chini ya carpet zinadai kuwa dogo alipewa KIASI kama fidia. Na sharti lingine lilikuwa dogo asiguswe kwa lolote mpaka amalize masomo yake.
Kifupi ni kuwa, ili uwe kwenye nafasi za uongozi wa Serikali ya Wanafunzi, unatakiwa usiwe mtu smart. Pia unatakiwa uwe amboga Mboga.
Ila ukiwa smart na mpinzani, hutakaa uwe kiongozi.
Hivyo basi, huyo dogo wa TAHLISO anatumikia handlers wake. Tumsamehe tu.
 
Screenshot_20250819_182919_Edge.jpg

Katiba ya TAHLISO inasema Rais atakaa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja.
 
Kwan ccm c kuna watu smart sana....
Yaan uchawa wa huyu dogo umekua too much....
 
Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi?

Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
Ndovinani ivyo vitaliso? Ndovile vitoto vyakubet na kutafuta nafasi zakuteuliwa
 
Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi?

Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
Mtikila alisema zamani walikuwa wanapata tabu kuwaelimisha wajinga, miaka ya karibuni imekuwa tabu kuwaelimisha wasomi
 
Back
Top Bottom