Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu kabisaUchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi kama manyoya ya kuku na ushindi wa kishindo upo wazi kabisa kwa CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
Anasumbuliwa na UTI suguUlikua kwenye kazi za porini nini? Sijakuona muda hapa Luca
Ungekuwa na akili japo za kuvuka barabara usingeandika huu upuuziWana ccm tumejitokeza kwa wingi wa kishindo, katika operation yetu, iitwayo, tushikamane kimya kimya kama fuko/fungo/chungo tuuangushe mgomba!
Lucas ni mtu makini hawezi kuumwa vitu vya ajabu hhahhaAnasumbuliwa na UTI sugu
Ni mchafu sana ndiyo maana UTI imejenga usugu hadi imepanda kichwani 😀 😀 😀Lucas ni mtu makini hawezi kuumwa vitu vya ajabu hhahha