LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu ni mgumu kuliko ule wa 2019, tumejiandikisha Karibu Watu wote!

LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu ni mgumu kuliko ule wa 2019, tumejiandikisha Karibu Watu wote!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa takwimu izo za waliojiandikisha CCM haihitaji ata kura 1 ya halali kujitangaza kuwa mshindi kura hewa tu zinatosha kuwashinda wapinzani wao 😂
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake!

Hivi kwa video zile nilizoziona mtu mmoja amesainia watu 5 tofauti!

Miandiko inayofanana kwa walioandikishwa ndio useme kuna uchaguzi hapo?

Mpaka sasa nawashangaa wapinzani wako kimya wataingia kwenye hili igizo halafu baadae waseme waliibiwa!
 
Sidhani kama hata asilimia 20 ya watu wanaotakiwa kujiandikisha kupiga kura hawajafika, licha ya kujazia hadi wanafunzi wa shule za msingi! CCM ni noooma, yule jamaa "aliye kinyume na Mungu" akasome
 
Back
Top Bottom