Hapa ndiyo umeuliza swali sahihi ambalo jibu lake in NDIYOau ni asiri ya unafiki wa kuogopa kusema ukweli unao tusumbuwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndiyo umeuliza swali sahihi ambalo jibu lake in NDIYOau ni asiri ya unafiki wa kuogopa kusema ukweli unao tusumbuwa?
watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nasikia watanzania wengi wakiwemo na wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kuharibu uchanguzi.
Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua zidi ya walio husika na uhalibifu wa uchaguzi.
Kitu ambacho kinanifanya nijuulize uwezo watu hawa kufikiri uko sawa au ni asiri ya unafiki wa kuogopa kusema ukweli unao tusumbuwa? Inawezakanaje katika miaka minne ya Magufuli hawakuweza kuona mipango yake ya kuharibu na kupora nguvu ya uma kuchaguwa viongozi ?
Yaani mtu apange kwa miaka minne tena hadharani mipango yake na kila mtu akiona halafu mipango imekamirika kama ilivyo pagwa halafu unaenda kwake kumwambia kuwa ahalibu alicho kikamilisha kwa sababu sio kizuri kwako?
Kwa uwazi bila unafiki ni kwamba hiki kilicho tokea kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa hakikutokea kwa bahati mbaya wala hawatendaji wa kata na vitogoji walio amuwa kufunga office wakati wa kurejesha form hawakujiamlia kufanya hivyo wala hawakuwekwa kwenye nafasi zao kwa bahati mbaya.
Hawa watendajii walipewa institutions na wamefuwata maelekezo kwa ufasaha mkubwa sana. sasa kulaumu mtu aliye fuwata maelekezo kwa umakini unakuwa unamuonea. Au kumwambia mtu aliye andaa maelekezo kuwa maelekezo yake yameeleweka vizuri na walio pewa maelekezo wameyafanyia kazi vizuri.
Wapizanii na watanzania watakuwa kituko kama watakubali suluhisho litakaro mpendekezwa na aliye panga kwa miaka minnne kupora wananchi mamlaka yao ya kuchaguwa viogozi wanaowataka na kujipa mwenyewe uwezo wa kuteuwa viongozi wote anao wataka yeye na si vingenevyo. hapa suluhisho ni katiba mpya na tume huru.
Jinsi ya kupata vitu hivi viwili sio kwa kumbembeleza Magufuli na serikali yake, bali ni kuvidayi kwa gharama yoyote bila hofu wala woga.
Na hapa ndio tutakumbusha watawala kuwa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya watawala. haiwezekani mtawala anafikia hatuwa ya kudharau wananchi kiasi hiki halafu tukaendelea kucheka naye.
Anatumia kodi zetu kutuchagulia nani aongoze maisha yetu kama vile maisha yetu ni kama magari yake anaweka dreva anaye taka kuendesha.
Kuliwahi kuwekwa taarifa hapa JF juu ya Lori lililotumika kuziba barabara ili mpinzani wake asiweze kurudisha fomu ofisini kwa wakati. Hii iliruhusu yeye apite ubunge bila kupingwa.Mkewe alikataa kumkampeni hadi ushawishi wa wazee wa chama walipomlazimisha.Yule Mama mzalendo alijua mapema jiwe halina utashi wa kuongoza nchi.
Siyo raia. Anataka kutuachia nchi yenye machafuko kama huko kwake Rwanda.Hakika kama Taifa, iwapo tunataka Taifa tuendelee tena, hatuna budi kuusema ukweli kuwa Jiwe ndiye anayeliharibu Taifa hili kwa hulka yake ya kutumia "One man Show"
Chonde chonde rudi kwenye uzi wako fanya editing ili watu wasikukosoe lafudhi badala ya mada.watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nasikia watanzania wengi wakiwemo na wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kuharibu uchanguzi.
Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua zidi ya walio husika na uhalibifu wa uchaguzi.
Kitu ambacho kinanifanya nijuulize uwezo watu hawa kufikiri uko sawa au ni asiri ya unafiki wa kuogopa kusema ukweli unao tusumbuwa? Inawezakanaje katika miaka minne ya Magufuli hawakuweza kuona mipango yake ya kuharibu na kupora nguvu ya uma kuchaguwa viongozi ?
Yaani mtu apange kwa miaka minne tena hadharani mipango yake na kila mtu akiona halafu mipango imekamirika kama ilivyo pagwa halafu unaenda kwake kumwambia kuwa ahalibu alicho kikamilisha kwa sababu sio kizuri kwako?
Kwa uwazi bila unafiki ni kwamba hiki kilicho tokea kwenye mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa hakikutokea kwa bahati mbaya wala hawatendaji wa kata na vitogoji walio amuwa kufunga office wakati wa kurejesha form hawakujiamlia kufanya hivyo wala hawakuwekwa kwenye nafasi zao kwa bahati mbaya.
Hawa watendajii walipewa institutions na wamefuwata maelekezo kwa ufasaha mkubwa sana. sasa kulaumu mtu aliye fuwata maelekezo kwa umakini unakuwa unamuonea. Au kumwambia mtu aliye andaa maelekezo kuwa maelekezo yake yameeleweka vizuri na walio pewa maelekezo wameyafanyia kazi vizuri.
Wapizanii na watanzania watakuwa kituko kama watakubali suluhisho litakaro mpendekezwa na aliye panga kwa miaka minnne kupora wananchi mamlaka yao ya kuchaguwa viogozi wanaowataka na kujipa mwenyewe uwezo wa kuteuwa viongozi wote anao wataka yeye na si vingenevyo. hapa suluhisho ni katiba mpya na tume huru.
Jinsi ya kupata vitu hivi viwili sio kwa kumbembeleza Magufuli na serikali yake, bali ni kuvidayi kwa gharama yoyote bila hofu wala woga.
Na hapa ndio tutakumbusha watawala kuwa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya watawala. haiwezekani mtawala anafikia hatuwa ya kudharau wananchi kiasi hiki halafu tukaendelea kucheka naye.
Anatumia kodi zetu kutuchagulia nani aongoze maisha yetu kama vile maisha yetu ni kama magari yake anaweka dreva anaye taka kuendesha.
Umeongea vitu vya msingi sana.Nchi hii wakati mwingine najiuliza umafiki tumeutoa wapi maana ghafla umetapakaa nchi nzima.
Praise team kila kitu "hongera Magufuli, hakika hilo hakika lile, hakuna kama wewe unathubutu ndege, reli, umeme nk"
Haya, akitoa maagizo ya kibabe mambo yakiharibika sio yeye 'mungu mtu' bali lazima atafutwe wakutupiwa lawama. Tumeona korosho imekula vichwa vya mawaziri kadhaa, hakuna vyeo wala ajira unaambiwa Tume kuhakiki,Leo uchaguzi unaambiwa Jafo nk nk.
Huyu mtu ni kituko na kumwambia hivyo sio kosa maana ni mwajiriwa wa wananchi na mamlaka ya ajira yake iko mikononi mwetu. Tuna haki ya kumtoa anytime kama kavunja katiba na amevunja mara nyingi tuu.
Mtu anamfukuza hadi CAG baada ya kumuona analeta kauzibe kwenye serikali yake sie ndio kwanza tunatoka hadharani kumtetea?tukiitwa viazi tutasema tunatukanwa? Au maiti kama watuitavyo wakenya tutabisha?
Bungeni ni sifa tuu utadhani ile nayo ni ofisi ya CCM sio bunge la wananchi. Mbunge akikosoa jambo anashambuliwa utadhani kwa mujibu wa kazi zake za kibunge kafanya kosa. Tena wabunge wa CCM badala ya kuihoji serikali wao wapo kusemea serikali, upuuzi mtupu!
Sasa tuwaombe Mbowe, Zitto, Mbatia kama wabunge ambao ni viongozi wa vyama vya siasa hili sasa lisipoe. Hakuna tume huru hakuna uchaguzi. Comedy sasa basi. Wapo wabunge imara watasimama nanyi na huku nje wapo wanasiasa makini watawasaidia kulieneza hilo bila ya kusahau katiba mpya.
Bila kumung'unya maneno, hata wanaccm makini wamechoka na magu kwa jinsi anavyo iingiza nchi kwenye shimo lakini kwa vile CCM unafiki ndio maisha basi utadhani wanaunga mkono.
Hakuna tofauti na Zimbabwe, Mugabe alikuwa anaonekana anaungwa mkono na 90% ya Wazimbabwe. Lakini Jeshi lilipoamua (tena kwa mashaka) kumtoa ni 90% hiyo ya Wazimbabwe waliingia mabarabarani kushangilia.
aliye panga tume isihusike na uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani ? je wahusika wa shiriki vipi katika kuondowa tume ya uchaguzi kwenye mchakato wa serikali za mtaa?Hiyo Tume unayoitaja humu haihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Acha kuwapotosha wananchi.