Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeharibiwa na Rais Magufuli mwenyewe

Hakuna nchi isiyo na utaratibu. Ninyi nyumbu mkipewa nchi mtapora kila kitu kwa uroho wenu wa maisha ya duniani, hiki kibano ndio size yenu.
 
Mkewe alikataa kumkampeni hadi ushawishi wa wazee wa chama walipomlazimisha.Yule Mama mzalendo alijua mapema jiwe halina utashi wa kuongoza nchi.
Kuliwahi kuwekwa taarifa hapa JF juu ya Lori lililotumika kuziba barabara ili mpinzani wake asiweze kurudisha fomu ofisini kwa wakati. Hii iliruhusu yeye apite ubunge bila kupingwa.
Wakati sijui ukweli wa hili, lakini haya yanayofanyika sasa hivi yanaonekana yanatoka kwenye kitabu hicho hicho alichokitumia yeye.
 
Hakika kama Taifa, iwapo tunataka Taifa tuendelee tena, hatuna budi kuusema ukweli kuwa Jiwe ndiye anayeliharibu Taifa hili kwa hulka yake ya kutumia "One man Show"
Siyo raia. Anataka kutuachia nchi yenye machafuko kama huko kwake Rwanda.
 
Ni kitu obvious sana ila ukumbuka watanzania majority ni vilaza na washika dini sana, jiwe akisema wamuombee hata makosa gani afanye wao kwao ni mtu wa mungu na msafi. Anaweza ua ndugu yako akacheka akasema alikua mzembe na bado ukakuta mtu anacheka, ndiyo level aliyofikia jiwe sasa hivi, kila anachosema regardless kizuri au kibaya kitaungwa mkono 100% na wafuasi wake, ni kama gang flani alafu ye ndo gang leader.
 
Chonde chonde rudi kwenye uzi wako fanya editing ili watu wasikukosoe lafudhi badala ya mada.
 
Nchi hii wakati mwingine najiuliza umafiki tumeutoa wapi maana ghafla umetapakaa nchi nzima.
Praise team kila kitu "hongera Magufuli, hakika hilo hakika lile, hakuna kama wewe unathubutu ndege, reli, umeme nk"
Haya, akitoa maagizo ya kibabe mambo yakiharibika sio yeye 'mungu mtu' bali lazima atafutwe wakutupiwa lawama. Tumeona korosho imekula vichwa vya mawaziri kadhaa, hakuna vyeo wala ajira unaambiwa Tume kuhakiki,Leo uchaguzi unaambiwa Jafo nk nk.
Huyu mtu ni kituko na kumwambia hivyo sio kosa maana ni mwajiriwa wa wananchi na mamlaka ya ajira yake iko mikononi mwetu. Tuna haki ya kumtoa anytime kama kavunja katiba na amevunja mara nyingi tuu.
Mtu anamfukuza hadi CAG baada ya kumuona analeta kauzibe kwenye serikali yake sie ndio kwanza tunatoka hadharani kumtetea?tukiitwa viazi tutasema tunatukanwa? Au maiti kama watuitavyo wakenya tutabisha?
Bungeni ni sifa tuu utadhani ile nayo ni ofisi ya CCM sio bunge la wananchi. Mbunge akikosoa jambo anashambuliwa utadhani kwa mujibu wa kazi zake za kibunge kafanya kosa. Tena wabunge wa CCM badala ya kuihoji serikali wao wapo kusemea serikali, upuuzi mtupu!
Sasa tuwaombe Mbowe, Zitto, Mbatia kama wabunge ambao ni viongozi wa vyama vya siasa hili sasa lisipoe. Hakuna tume huru hakuna uchaguzi. Comedy sasa basi. Wapo wabunge imara watasimama nanyi na huku nje wapo wanasiasa makini watawasaidia kulieneza hilo bila ya kusahau katiba mpya.
Bila kumung'unya maneno, hata wanaccm makini wamechoka na magu kwa jinsi anavyo iingiza nchi kwenye shimo lakini kwa vile CCM unafiki ndio maisha basi utadhani wanaunga mkono.
Hakuna tofauti na Zimbabwe, Mugabe alikuwa anaonekana anaungwa mkono na 90% ya Wazimbabwe. Lakini Jeshi lilipoamua (tena kwa mashaka) kumtoa ni 90% hiyo ya Wazimbabwe waliingia mabarabarani kushangilia.
 
Ni jukumu la kila mtanzania popote alipo kupinga dhulma kwa nguvu zote. Nyoka amengia nyumbani-kazi ni moja tu kumkatakata vipande vipande.We must stand up against injustice.
 
Umeongea vitu vya msingi sana.

Hivi sasa watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, tunapaswa kumpinga huyu mtu kwa nguvu zetu zote, kutumia kila nyenzo hadi huyu "Nduli" atoke pale ofisini

Tusipofanya hivyo sasa, huko mbeleni tutalia kama Taifa na hakuna mtu atakayekuja, kutufuta machozi

Another "Kimbali" killings coming very soon in our country
 
Hiyo Tume unayoitaja humu haihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Acha kuwapotosha wananchi.
aliye panga tume isihusike na uchaguzi wa serikali za mitaa ni nani ? je wahusika wa shiriki vipi katika kuondowa tume ya uchaguzi kwenye mchakato wa serikali za mtaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…