Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Swali la pili: Alikuwa mkali kwenye kampeni, je anathibitishaje kuwa hatakuwa mkali akipewa hiyo nafasi?

Jibu: Kwakuwa hakuwahi kulalamikiwa kisheria hivyo basi hayo malalamiko si sahihi
 
CCM ni ushabiki mtupu, na huyu mama mwenyekiti mbabe kweli kweli
 
Wabunge wapambanaji wa ccm wangeamua kumpigia Marando. Wanashindwa kuelewa kura yao ya leo ndio itawafimba mdomo bungeni na kuwa chanzo cha wananchi kuwakataa 2015.
 
Marando anamkumbusha huyu mbunge kuwa ya kampeni yalishakwisha
 
vipi tena jamani watakumchakachua live!!!?
 
Namwona Sugu nyuma ya Zitto anabariz....hizi Mic zinatoa watu ushamba.......kha!
 
Ubishi umeanza, Olesendeka anakuwa bloked kutumia mic ya Marando.

Hizi fitina ni balaa, hili bunge mwaka huu iko kazi
 
Naona anaulizwa eti kwamba alikuwa NCCR askahamia CHADEMA>....Anna Amelikataa hili swali.........
 
Wagombea wanajinadi lakini zaidi Mabere kajieleza kwa ufanisi
 
Marando anaulizwa anahamahama chama je akipewa uspika hatahama? Poor question toka kwa Olesendeka.

Anna abdalah analipiga chini
 
wabunge wa CCM wanafanya fitina wanawasha mic zao ili ya Marando isisike.
 
Marando amemaliza na anatoka hapa
 

The Following User Says Thank You to Rutashubanyuma For This Useful Post:

Muadilifu (Today)​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…