Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Naona sasa ametoka nje......hizi Mic nadhani wangepewa kwanza semina namna ya kuzitumia......lol
 
mic zinawasumbua, wabunge wageni walitakiwa kufanyiwa orientation
 
Marando anaulizwa ana hama hama chama je akipewa upika hata hama??? Poor question toka kwa Olesendeka.
Anna abdalah analipiga chini


Huyu Ole Sendeka katumwa nini? Swali gani hilo, naona bado yuko usingizini.
 
Olesendeka! Mh Huyu Jamaa mbona anazeeka Vibaya
 
Mi naona zengwe limeanza mapema tu. Uchaguzi wanafanya kama watoto vile!
 
Anna Makinda hatoliweze hili Bunge, tutarajie mikwaruzano na ubabe tu!!!
 
Wote Anne makinda na Mabere marando wamekwisha kujieleza na kujibu maswali ingawaje swali la mbunge wa Simanjiro msimaizi wa uchaguzi amelikataa..............
 
milango imefungwa na wabunge wanahesabiwa
 
Msimamizi wa uchaguzi wa muda ni Mama Anna Abdallah.................katibu wa Bunge awakumbusha wabunge kuwa msimamizi wa bunge ambaye Mwenyekiti wa muda ndiye anayepaswa kusikilizwa kulingana na kanuni za bunge...................
 
Katibu wa Bunge awaelezea wabunge kuwa waweke alama ya vema kwenye kijisanduku cha mgombea ambye wanataka kumchagua
 
Mnisamehe nashindwa kuleta update toka humu mjengoni, nimekaa angle mbaya ila tv zote ziko live.
 
Vijikaratasi vya kura vyaanza kugawiwa.............hapa sasa ndio utamu unaanza.....................
 
Back
Top Bottom