Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Anne makinda kaahidi kuongoza bunge kwa viwango na kasi na kuhakikisha uwakilishi imara kwa niaba ya wananchi
 
Wabunge wapya wote kuapishw aleo na wamewekwa kwenye orodha kulingana na nyadhifa zao bungeni, urefu wa utumishi wao bungeni.......Kiongozi wa upinzani Bungeni ni wanne kwenye orodha hiyo...................na Zitto Kabwe ni watano na Tundu Lisso ni wa sita kwenye orodha hiyo huku Lowassa ni wa tatu na Pinda ni wanne..................
 
Tayari huyu mama anayechangia TBC analizungumzia na kuendelea kuonyesha mashaka yake kwa Makinda, nadhani anamfahamu sana.

wabunge wengi bado wanafanya kazi kwa kushabikia na sio kwa kuangalia uwezo wa mtu.
 
Mawakala:
Marando- Halima Mdee
Anne-Deo Likunjombe Mbunge wa ludewa
 
Marando amemchagua Halima Mdee asimamie kura zake...mpambanaji toka Kawe huyu..
 
marando anampendekeza kamanda mdee kusimamia uhesabuji wakura
 
wagombea wanaenda kupumzika, Zoezi la kuhesabu likaanze
 
hawa jamaa wanaweza kuchakachua hata kura za spika.mi siwaamini sana hawa
 
Habari Njema ni kwamba Mbunge wa Chadema wa Kuteuliwa ambaye pia ni member mwenzetu hapa Mh Regia Mtema ataapishwa Leo...sambamba na Zitto, Mbowe, Eddo, Pinda....
 
Hapa sioni uchakachuaji wa kura maana mheshimiwa Marando kamteua Mheshimiwa Halima Mdee kuwa msimamizi wake wa kuhesabu kura.....................uchakachuaji utatokea wapi?
 
katibu katangaza kuwa "hakuna kuchakachua kura hizi" hata yeye anajua kuwa huwa kuna uchakachuaji
 
Back
Top Bottom