Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Nicky82 - Thanks

Zoezi zima litachukua muda gani (kupiga kura + kuhesabu):tape:
 
hivi kwa nini spika asipigiwe kura na wananchi jamani..hahaaaa
 
Mkuu wameongezeka tena? wasije wakachakachua kura

Katibu anasema leo hakuna kuchakachua....jamaa wanajua leo wamepatikana.

Mkuu hiyo 333 ni wote waliotangazwa, hao nane hawapo ukumbini
 
Eh..wanapumzika wka dk 30 wakingoja matokeo...hivi kuhesabu kunachukua Muda mrefu hivi?
 
Ole Sendeka akili zake ni kama za ng'ombe tumsamehe kwa kweli. Jimboni kwake ndo yanapopatikana Madini ya Tanzanite lakin watu wake ni maskini afadhari hata ya wale wanaoishi Jangwani. Ukienda makao makuu ya wilaya ya simanjiro kuna guest 1 tu na inavyumba vitano.
 
Kwa jinsi hali ilivyo, hamna shaka kuwa Spika ni Anna Makinda. Ngoja nrudi zangu MMU kule.
 
Mheshimiwa Anna Abdallah ametoa dakika 25 za mapumziko za kusubiria matokeo ya kura ambazo sasa zinakwenda kuhesabiwa...........
 
Orait kwa sasa hivi ni mapumziko wazeee.....tukutane baada ya 30 minutes
 
Nicky82 - Thanks

Zoezi zima litachukua muda gani (kupiga kura + kuhesabu):tape:

kwa kugues, less than 30 mins to come, mbivu na mbich zitakuwa hadharani.
wabunge ndo wanatoka kwenda kupunga upepo...muda ukifika watagongewa kengele warudi ndani
 
Kwa jinsi hali ilivyo, hamna shaka kuwa Spika ni Anna Makinda. Ngoja nrudi zangu MMU kule.

Orait na mi najibrekisha kidogo sasa....lakini hapa hakuna jipya.......
 
hawa jamaa wanaweza kuchakachua hata kura za spika.mi siwaamini sana hawa[/QUOkuhesabu kura tu za wabunge inachukua nusu saa? haya bwana ,mifumo mingine ni ya kizembe sana.kumbe ugonjwa ule wakuchelewesha matokeo ni wakitaifa.
 
Kwa jinsi hali ilivyo, hamna shaka kuwa Spika ni Anna Makinda. Ngoja nrudi zangu MMU kule.

Ishu hapa ni idadi ya kura....
Kuna mbunge, hata mmoja wa CCm anaa uthubutu wa kukitosa chama??
 
Kwa wale ambao hawamfahamu vyema msimamizi wa zoezi la kuhesabu kura wa Mheshimiwa Mabere marando ambaye ni Mheshimiwa Halima Mdee huyu ni Mbunge wa jimbo la Kawe Mkoa wa Dar-Es-Salaam.........................na kabla ya hapo alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa miaka mitano iliyopita.........................na kabla ya hapo alikuwa mwajiriwa serikalini katika Wizara ya kazi na maendeleo ya vijana..........katika utumishi wake bungeni alikwenda Afrika ya Kusini kujiongezea ujuzi na hivi sasa ana shahada ya masters...............
 
Kweli JF ni "KISIMA" cha habari..kha! (saa nne EAT kuna watu 200 na ushee wanatizama thread moja!)
====

There are currently 218 users browsing this thread. (98 members and 120 guests)
 
Back
Top Bottom