Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh..wanapumzika wka dk 30 wakingoja matokeo...hivi kuhesabu kunachukua Muda mrefu hivi?
kuna mchangiaji mmoja TBC1 kamfananisha Anne Makinda na Headmistress kwa staili yake ile ya kuwafokea wabunge utadhani bunge ni shule ya sekondari
hahaaaa..wanachakachua hadi kura za uspika..
Lets all cross fingers. unajua kwa wabunge waaminifu kabisa na wenye kuitakia mema nchi yetu Mabere is the right candidate. Lakini kwa sababu wengi wanafuata upepo ndio hivyo tusitegemee miujiza
Ishu hapa ni idadi ya kura....
Kuna mbunge, hata mmoja wa CCm anaa uthubutu wa kukitosa chama??
Kweli JF ni "KISIMA" cha habari..kha! (saa nne EAT kuna watu 200 na ushee wanatizama thread moja!)
====
There are currently 218 users browsing this thread. (98 members and 120 guests)
Lets all cross fingers. unajua kwa wabunge waaminifu kabisa na wenye kuitakia mema nchi yetu Mabere is the right candidate. Lakini kwa sababu wengi wanafuata upepo ndio hivyo tusitegemee miujiza
hiv huyu si ndo yule alikuwa anabishana na mkuu wa mkoa!??Ole Sendeka akili zake ni kama za ng'ombe tumsamehe kwa kweli. Jimboni kwake ndo yanapopatikana Madini ya Tanzanite lakin watu wake ni maskini afadhari hata ya wale wanaoishi Jangwani. Ukienda makao makuu ya wilaya ya simanjiro kuna guest 1 tu na inavyumba vitano.
Shukrani mkuu, ila ukifanikiwa tufahamishe japo kwa uchache yale ambayo utagundua hayatarushwa ktk Televisheni
Jamani leteni report huko, vipi tutashinda?
Jamani leteni report huko, vipi tutashinda?
Mmmh hao jamaa bado wanahesabu?
4 problems:
SMZ kuagiza CUF wakiunge mkono CCM
Minority Opposition
Wabunge 'vihiyo' wa CCM
Viti maalum CCM
Hilo tu linatosha kuthibitisha kuwa mafisadi wamemwaga mpunga, na pesa ni sabuni ya roho.
Elli unamaanisha CCM/CHADEMA???
Possibility ya CCM kushinda ni kubwa. Ila msisau kwenye kura lolote linaweza kutokea, ila tuseme ukweli, possibility ya Marando kushinda ni ndogo ukicompare na Makinda